ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu jana jioni nimecheka sana. Yule jamaa aliyeongoza jopo la watu walionisomea Albadiri iliyogonga mwamba (Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana) jana kaja na mada nyingine anasema kuwa Iran inanguvu kuliko Marekani na imeizidi Marekani kwa kila kutu.
Chakusikitisha ni kuwa jamaa hana hata kitambulisho cha nida achilia mbali pasport. Imagine mtu kama huyu anapewa dhamana ya kuwafundisha watoto elimu ahera.
Alafu kwanini wanapenda hiyo kauli utasikia ylwa aua WANAWAKE NA WATOTO.ikitokea baadaye kikawaka utasikia mavilio toka wavaa kobaz. ooh marekani anauwa wazee na watoto