Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
ikitokea baadaye kikawaka utasikia mavilio toka wavaa kobaz. ooh marekani anauwa wazee na watotoWakuu jana jioni nimecheka sana. Yule jamaa aliyeongoza jopo la watu walionisomea Albadiri iliyogonga mwamba (Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana) jana kaja na mada nyingine anasema kuwa Iran inanguvu kuliko Marekani na imeizidi Marekani kwa kila kutu.
Chakusikitisha ni kuwa jamaa hana hata kitambulisho cha nida achilia mbali pasport. Imagine mtu kama huyu anapewa dhamana ya kuwafundisha watoto elimu ahera.
Ukiwa busy uwezi kuwa na mda wa kufatilia maisha ya watu au mwezetu umesha left groupNjoo nikupe kazi kama umesomea ufundi wa mitambo ya hydraulic.
Unasemaje mdogo wangu wa afu mbiliAcha kumsema vibaya maalim wa Ritz Adiosamigo Bwana Utam na wengineo Al madrassa vindaki ndaki.. TV msikiti
Takataka hiyo. Achana nayo mkuu utapoteza nguvu zako muda na hekimaWakuu jana jioni nimecheka sana. Yule jamaa aliyeongoza jopo la watu walionisomea Albadiri iliyogonga mwamba (Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana) jana kaja na mada nyingine anasema kuwa Iran inanguvu kuliko Marekani na imeizidi Marekani kwa kila kutu.
Chakusikitisha ni kuwa jamaa hana hata kitambulisho cha nida achilia mbali pasport. Imagine mtu kama huyu anapewa dhamana ya kuwafundisha watoto elimu ahera.
😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅Wakuu jana jioni nimecheka sana. Yule jamaa aliyeongoza jopo la watu walionisomea Albadiri iliyogonga mwamba (Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana) jana kaja na mada nyingine anasema kuwa Iran inanguvu kuliko Marekani na imeizidi Marekani kwa kila kutu.
Chakusikitisha ni kuwa jamaa hana hata kitambulisho cha nida achilia mbali pasport. Imagine mtu kama huyu anapewa dhamana ya kuwafundisha Watoto elimu ahera.
We kalia hivyo hivyo Madrasa zinafaida kuliko kupelekwa kanisani kuimbishwa nyimbo mnatoka tupu 😄Acha kumsema vibaya maalim wa Ritz Adiosamigo Bwana Utam na wengineo Al madrassa vindaki ndaki.. TV msikiti
Ila ni kweli hata humu wapo na wakipata passport wanakimbilia huko America Mfano FaizaFoxyWakuu jana jioni nimecheka sana. Yule jamaa aliyeongoza jopo la watu walionisomea Albadiri iliyogonga mwamba (Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana) jana kaja na mada nyingine anasema kuwa Iran inanguvu kuliko Marekani na imeizidi Marekani kwa kila kutu.
Chakusikitisha ni kuwa jamaa hana hata kitambulisho cha nida achilia mbali pasport. Imagine mtu kama huyu anapewa dhamana ya kuwafundisha watoto elimu ahera.
Wanadanganyana sana kwenye vijiwe vya kahawa na alkasusWakuu jana jioni nimecheka sana. Yule jamaa aliyeongoza jopo la watu walionisomea Albadiri iliyogonga mwamba (Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana) jana kaja na mada nyingine anasema kuwa Iran inanguvu kuliko Marekani na imeizidi Marekani kwa kila kutu.
Chakusikitisha ni kuwa jamaa hana hata kitambulisho cha nida achilia mbali pasport. Imagine mtu kama huyu anapewa dhamana ya kuwafundisha watoto elimu ahera.
Akija naamia Simba pamoja na ubovu wakeNjoo nikupe kazi kama umesomea ufundi wa mitambo ya hydraulic.
We learn about bible story very nice and enjoyable. tunafundishwa kuwa uwongo ni mbaya na ni ushatani.. nyie ndio mnasisitizwa kuwa waongo maishani mwenu na ndio matokeo mpo hivyo... so sisi ndio tupo lucky nyie mmelostWe kalia hivyo hivyo Madrasa zinafaida kuliko kupelekwa kanisani kuimbishwa nyimbo mnatoka tupu 😄
unaposema mapepo mean roho zisizo onekana ule msikiti pale mecca unaitwa wa majini,pale Zenji pembezoni mwa bahari Kinazini na ule wa Mafia ,Comoro n.k ndio mapepo yenyewe... and unapoona mapepo mabaya kwenu ndio mwake mwake.. Quran yenu si inasema majini na binadamu wameumwa ili kumuabudu Allah tu au hutaki pia?Afu eti mnatolewa pepo wakati nyie wenyewe mapepo.
Yesu alikuwa na passport au kitambulisho cha Nida !!!mbona alifundisha watu mambo ya mbinguni?Wakuu jana jioni nimecheka sana. Yule jamaa aliyeongoza jopo la watu walionisomea Albadiri iliyogonga mwamba (Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana) jana kaja na mada nyingine anasema kuwa Iran inanguvu kuliko Marekani na imeizidi Marekani kwa kila kutu.
Chakusikitisha ni kuwa jamaa hana hata kitambulisho cha nida achilia mbali pasport. Imagine mtu kama huyu anapewa dhamana ya kuwafundisha watoto elimu ahera.