Ostadh Shaaban: Iran ina nguvu kuliko Marekani

Attachments

  • Screenshot_2024-10-27-21-35-11-688.jpg
    394.9 KB · Views: 2
ikitokea baadaye kikawaka utasikia mavilio toka wavaa kobaz. ooh marekani anauwa wazee na watoto
Alafu kwanini wanapenda hiyo kauli utasikia ylwa aua WANAWAKE NA WATOTO.
lakini kabla ya hapo ni walishupaza shingo kwamba wanauwezo.!!
Inashangaza
 
Ustadh upeo wake upo kwenye kuchambua ubora wa Biriani na Pilau, haya mengine ni kujitafutia matatizo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…