PreGE2025 Othman amshangaa Wasira kupotosha yaliyotokea Angola, asema ameipaka matope Serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na viongozi wengine wa kisiasa kuzuiliwa uwanja wa ndege Airport.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Othman amesema kuwa yeye kama kiongozi wa Serikali taratibu zote za kiserikali zilifuata za yeye kusafiri nje ya nchi, hivyo wale wanaojaribu kupotosha wanaipaka matope Serikali yao.

"Hapa kwetu watu mbalimbali wameendelea kulipotosha jambo hili lililotufadhaisha zaidi ni upotoshaji huu kufanywa na viongozi waandamizi wa Chama cha Mapinduzi na hasa mtu ambaye hukumtegemea zaidi kama Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bara Bwana Stephen Wasira na pia Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa kule Zanzibar ndugu Hamis, upotoshaji walioufanya kwa kweli ni mbaya sana na mimi naamini kwamba wameipaka matope hata serikali kwa sababu kikubwa ambacho wamekizungumza kwa upande hasa wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kwamba hakufuata utaratibu hajui utaratibu wa kusafiri nje sasa wao inawezekana mawazo yao hizi ni siasa mimi nasema za mtaani."

"Mwingine anaweza akaona hii serikali ni ya hivyo sana kwamba makamu anasafiri kwenda nje na serikali inamuachia haifati taratibu za kidiplomasia sasa hil ni jambo la kufadhaisha. Ni vizuri kuliweka rekodi sawa sawa ili watanzania wafahamu tuna viongozi wa aina gani ndani ya Chama cha Mapinduzi"

Wasira akiwa mkoani Songwe siku ya Ijumaa alisema kuwa viongozi hao wa ACT Wazalendo na CHADEMA waache kuinyishea kidole Serikali ya Tanzania kufuatia wao kuzuiliwa huko nchini Angola.

"Wamelalamika kwa nini serikali imekaa kimya kwani sisi tunasimamia Airpoti ya Angola? Airpoti ya Angola inasimamiwa na watu wa Angola, na pia huenda walikuwa na jambo lao ambalo lilitiliwa shaka. Wangeuawa tungesema kwa nini wamewaonea watu wasiokuwa na hatia," alisema Wasira.

Viongozi hao wa ACT Wazalendo pamoja na viongozi wengine wa kisiasa walikuwa wanaenda Angola kushiriki mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika (PAD) ulioandaliwa na Taasisi ya The Brenthurst Foundation ukiwa na lengo la kuwakutanisha baadhi ya wadau wa siasa Afrika kwa madai ya kujadili demokrasia na kubadilishana uzoefu.

Pia, Soma
 
“Hapa kwetu watu mbalimbali wameendelea kulipotosha jambo hili lililotufadhaisha zaidi ni upotoshaji huu kufanywa na viongozi waandamizi wa Chama cha Mapinduzi na hasa mtu ambaye hukumtegemea zaidi kama Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bara Bwana Stephen Wasira na pia Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa kule Zanzibar ndugu Hamis, upotoshaji walioufanya kwa kweli ni mbaya sana na mimi naamini kwamba wameipaka matope hata serikali kwa sababu kikubwa ambacho wamekizungumza kwa upande hasa wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kwamba hakufuata utaratibu hajui utaratibu wa kusafiri nje sasa wao inawezekana mawazo yao hizi ni siasa mimi nasema za mtaani.

Mwingine anaweza akaona hii serikali ni ya hivyo sana kwamba makamu anasafiri kwenda nje na serikali inamuachia haifati taratibu za kidiplomasia sasa hil ni jambo la kufadhaisha. Ni vizuri kuliweka rekodi sawa sawa ili watanzania wafahamu tuna viongozi wa aina gani ndani ya Chama cha Mapinduzi”

Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Chama Cha ACT Wazalendo Othman Masoud Othman akizungumza juu ya yaliyotokea nchini Angola.

Chanzo Jambo TV
 
Hakuna siku nilimuona Wassira ni mjinga kama juzi alivyoliongelea hili suala.

Huyu jamaa ni Kiongozi wa Kitaifa. Alivyofanyiwa vile ni fedhea sana kwetu kama nchi kidiplomasia. Wassira kamwe hakutakiwa kuleta siasa kwenye suala hli.

Kwa akili zile za CCM na viongozi wao ndo mana saivi Tanzania huko nje tunaishia kufedheheshwa na kudharirishwa tu. Si Congo Jeshi letu linapokea vichapo kutoka M23 na Rwanda si Angola viongozi wetu na watu wetu wanadharirishwa alafu mi CCM inajichekea tu!

CCM ni janga la taifa.
 
Ukijaaliwa kufika uzeeni miaka zaidi ya 75 ni wakati mzuri mtu makini kumlingania Mola wako...Unatubu na kujiandaa na pepo sio wakati wakuzunguka kupiga mdomo,kusema uongo na kusapoti ukandamizaji wa haki na wizi wa kura!!
Tamaa za Dunia zisitukoseshe mema ya mbinguni...
Obeying God is far better than silver and gold
 
Huyu mzee wangu Wasira anaenda kumaliza uzee wake kwa history mbaya sana , umri wa mzee uyu atakiwi kuongopa
 
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na viongozi wengine wa kisiasa kuzuiliwa uwanja wa ndege Airport.

Othman amesema kuwa yeye kama kiongozi wa Serikali taratibu zote za kiserikali zilifuata za yeye kusafiri nje ya nchi, hivyo wale wanaojaribu kupotosha wanaipaka matope Serikali yao.

"Hapa kwetu watu mbalimbali wameendelea kulipotosha jambo hili lililotufadhaisha zaidi ni upotoshaji huu kufanywa na viongozi waandamizi wa Chama cha Mapinduzi na hasa mtu ambaye hukumtegemea zaidi kama Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bara Bwana Stephen Wasira na pia Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa kule Zanzibar ndugu Hamis, upotoshaji walioufanya kwa kweli ni mbaya sana na mimi naamini kwamba wameipaka matope hata serikali kwa sababu kikubwa ambacho wamekizungumza kwa upande hasa wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kwamba hakufuata utaratibu hajui utaratibu wa kusafiri nje sasa wao inawezekana mawazo yao hizi ni siasa mimi nasema za mtaani."

"Mwingine anaweza akaona hii serikali ni ya hivyo sana kwamba makamu anasafiri kwenda nje na serikali inamuachia haifati taratibu za kidiplomasia sasa hil ni jambo la kufadhaisha. Ni vizuri kuliweka rekodi sawa sawa ili watanzania wafahamu tuna viongozi wa aina gani ndani ya Chama cha Mapinduzi"

Wasira akiwa mkoani Songwe siku ya Ijumaa alisema kuwa viongozi hao wa ACT Wazalendo na CHADEMA waache kuinyishea kidole Serikali ya Tanzania kufuatia wao kuzuiliwa huko nchini Angola.

"Wamelalamika kwa nini serikali imekaa kimya kwani sisi tunasimamia Airpoti ya Angola? Airpoti ya Angola inasimamiwa na watu wa Angola, na pia huenda walikuwa na jambo lao ambalo lilitiliwa shaka. Wangeuawa tungesema kwa nini wamewaonea watu wasiokuwa na hatia," alisema Wasira.

Viongozi hao wa ACT Wazalendo pamoja na viongozi wengine wa kisiasa walikuwa wanaenda Angola kushiriki mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika (PAD) ulioandaliwa na Taasisi ya The Brenthurst Foundation ukiwa na lengo la kuwakutanisha baadhi ya wadau wa siasa Afrika kwa madai ya kujadili demokrasia na kubadilishana uzoefu.

Pia, Soma
Mzizi wa hoja aliyosema mzee Wassira ni kuwa si serikali ya Tanzania yenye mamlaka na huo uwanja wa ndege wa Angola........

Hata angekwenda Rais wa nchi gani na akazuiwa na serikali ya Angola basi wa kuulizwa ni kwanini rais huyo kazuiwa kuingia ni hao WAZUIAJI....

Kichekesho mh.Othman Masoud alisema walikaa pale uwanjani masaa 8, Dorothy Demu yeye anasema yalikuwa ni masaa 2....

Hakika hiki ni kizungumkuti.....

#Mwenye nchi yake akikataa usiingie lawama asipelekewe mwingine!
 
Wasira ni muongo tangu awali, asemapo uongo ayasema yaliyi yake kwani yeye ndiye uongo na baba wa uongo.
Waulizeni hata NCCR mageuzi
Makongoro alishaliona hilo,lakini sasa ni bosi wake. Huwezi msikia tena
 
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na viongozi wengine wa kisiasa kuzuiliwa uwanja wa ndege Airport.

Othman amesema kuwa yeye kama kiongozi wa Serikali taratibu zote za kiserikali zilifuata za yeye kusafiri nje ya nchi, hivyo wale wanaojaribu kupotosha wanaipaka matope Serikali yao.

"Hapa kwetu watu mbalimbali wameendelea kulipotosha jambo hili lililotufadhaisha zaidi ni upotoshaji huu kufanywa na viongozi waandamizi wa Chama cha Mapinduzi na hasa mtu ambaye hukumtegemea zaidi kama Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bara Bwana Stephen Wasira na pia Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa kule Zanzibar ndugu Hamis, upotoshaji walioufanya kwa kweli ni mbaya sana na mimi naamini kwamba wameipaka matope hata serikali kwa sababu kikubwa ambacho wamekizungumza kwa upande hasa wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kwamba hakufuata utaratibu hajui utaratibu wa kusafiri nje sasa wao inawezekana mawazo yao hizi ni siasa mimi nasema za mtaani."

"Mwingine anaweza akaona hii serikali ni ya hivyo sana kwamba makamu anasafiri kwenda nje na serikali inamuachia haifati taratibu za kidiplomasia sasa hil ni jambo la kufadhaisha. Ni vizuri kuliweka rekodi sawa sawa ili watanzania wafahamu tuna viongozi wa aina gani ndani ya Chama cha Mapinduzi"

Wasira akiwa mkoani Songwe siku ya Ijumaa alisema kuwa viongozi hao wa ACT Wazalendo na CHADEMA waache kuinyishea kidole Serikali ya Tanzania kufuatia wao kuzuiliwa huko nchini Angola.

"Wamelalamika kwa nini serikali imekaa kimya kwani sisi tunasimamia Airpoti ya Angola? Airpoti ya Angola inasimamiwa na watu wa Angola, na pia huenda walikuwa na jambo lao ambalo lilitiliwa shaka. Wangeuawa tungesema kwa nini wamewaonea watu wasiokuwa na hatia," alisema Wasira.

Viongozi hao wa ACT Wazalendo pamoja na viongozi wengine wa kisiasa walikuwa wanaenda Angola kushiriki mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika (PAD) ulioandaliwa na Taasisi ya The Brenthurst Foundation ukiwa na lengo la kuwakutanisha baadhi ya wadau wa siasa Afrika kwa madai ya kujadili demokrasia na kubadilishana uzoefu.

Pia, Soma
Makamu wa Rais anaingia nchi ya kigeni utadhani kibaka 🐒
 
Hoi Wasira Usingizi Mzito
Gari Ni Engine Siyo Bodi
Anadondosha Ute Mvua Inanyesha
 
Back
Top Bottom