Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
kwamba anajiendea kana kwamba Angola haina makamu wa Rais right?Huna adabu kwa Viongozi wa Taifa.
kiburi tu na ujeuri kumbe mbele kiza kinene na totoro 🐒
kwamba anajiendea kana kwamba Angola haina makamu wa Rais right?Huna adabu kwa Viongozi wa Taifa.
Na wewe huna tofauti na Wassira. Dish lako pia limeyumbaMzizi wa hoja aliyosema mzee Wassira ni kuwa si serikali ya Tanzania yenye mamlaka na huo uwanja wa ndege wa Angola........
Hata angekwenda Rais wa nchi gani na akazuiwa na serikali ya Angola basi wa kuulizwa ni kwanini rais huyo kazuiwa kuingia ni hao WAZUIAJI....
Kichekesho mh.Othman Masoud alisema walikaa pale uwanjani masaa 8, Dorothy Demu yeye anasema yalikuwa ni masaa 2....
Hakika hiki ni kizungumkuti.....
#Mwenye nchi yake akikataa usiingie lawama asipelekewe mwingine!
Aliwezaje kuondoka nchini kwake kama kibaka? Wasira toka achezee za uso toka kwa bulaya kawa kama kachanganyikiwa, ndiomaana makongoro anamsema "YUPO"Makamu wa Rais anaingia nchi ya kigeni utadhani kibaka 🐒
kwa kiburi alichonacho unadhani kuna mtu anababaika nae gentleman?Aliwezaje kuondoka nchini kwake kama kibaka? Wasira toka achezee za uso toka kwa bulaya kawa kama kachanganyikiwa, ndiomaana makongoro anamsema "YUPO"
Naomba mkuu kuuliza, katika protocol ,huyu makamu wa kwanza wa Zanzibar anatambulika kimataifa kama nani ?Hakuna siku nilimuona Wassira ni mjinga kama juzi alivyoliongelea hili suala.
Huyu jamaa ni Kiongozi wa Kitaifa. Alivyofanyiwa vile ni fedhea sana kwetu kama nchi kidiplomasia. Wassira kamwe hakutakiwa kuleta siasa kwenye suala hli.
Kwa akili zile za CCM na viongozi wao ndo mana saivi Tanzania huko nje tunaishia kufedheheshwa na kudharirishwa tu. Si Congo Jeshi letu linapokea vichapo kutoka M23 na Rwanda si Angola viongozi wetu na watu wetu wanadharirishwa alafu mi CCM inajichekea tu!
CCM ni janga la taifa.
Unatatizo kichwani!! Kwa nchi zenye watu wenye akili Umoja wenu ni muhimu sana nje ya mipaka ya nchi!Mzizi wa hoja aliyosema mzee Wassira ni kuwa si serikali ya Tanzania yenye mamlaka na huo uwanja wa ndege wa Angola........
Hata angekwenda Rais wa nchi gani na akazuiwa na serikali ya Angola basi wa kuulizwa ni kwanini rais huyo kazuiwa kuingia ni hao WAZUIAJI....
Kichekesho mh.Othman Masoud alisema walikaa pale uwanjani masaa 8, Dorothy Demu yeye anasema yalikuwa ni masaa 2....
Hakika hiki ni kizungumkuti.....
#Mwenye nchi yake akikataa usiingie lawama asipelekewe mwingine!
Kwa cheo chake hicho hichoNaomba mkuu kuuliza, katika protocol ,huyu makamu wa kwanza wa Zanzibar anatambulika kimataifa kama nani ?
Yaani OMO kichwa maji? Kwenye ukoo wenu kuna mtu anampata kwa chochote ukitoa umri?kwa kiburi alichonacho unadhani kuna mtu anababaika nae gentleman?
aende asiende hayupo mwenye muda nae Tanzania. Infact , atakua harassed sana tu huko nchi za kigeni kwasabb ya kujifanya anajua kila kitu kumbe ni kichwa maji tu 🐒
relax gentleman,Yaani OMO kichwa maji? Kwenye ukoo wenu kuna mtu anampata kwa chochote ukitoa umri?
Nimekuona wa ajabu sana kusema OMO kichwa majirelax gentleman,
mihemko na makasiriko ni useless na completely nonsense 🐒
Gentleman,Nimekuona wa ajabu sana kusema OMO kichwa maji
Kuna dalili mmoja kuwa mchocheziKichekesho mh.Othman Masoud alisema walikaa pale uwanjani masaa 8, Dorothy Demu yeye anasema yalikuwa ni masaa 2....
Sasa mtu kashakua hadi makamo wa kwanza wa rais anataka nini tena? He has nothing to loseGentleman,
ujuaji mwingi mbele kiza kinene.
kiburi na majivuno kinampoteza vizuri sana tena kwa uhakika na bila wasiwasi wowote kwenye medani za siasa na hakuna mahali ataenda wala hakuna kitu atafanya, watch the scene🐒
Gentleman,Sasa mtu kashakua hadi makamo wa kwanza wa rais anataka nini tena? He has nothing to lose
Tatizo haeshimiwi akiwa madarakani, na hizo hila wamefanya ccm, haiwezekeni makamo wa kwanza wa rais anatoka nchini usalama wa taifa wapo tu, inamaana hana ulinzi?Gentleman,
sasa kama he has nothing to lose anapiga mayowe ya nini hali ya kua tatizo ni lake kutaka kuingia nchi ya watu kama anaingia chooni kwake vile?🐒