PreGE2025 Othman amshangaa Wasira kupotosha yaliyotokea Angola, asema ameipaka matope Serikali

PreGE2025 Othman amshangaa Wasira kupotosha yaliyotokea Angola, asema ameipaka matope Serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tatizo haeshimiwi akiwa madarakani, na hizo hila wamefanya ccm, haiwezekeni makamo wa kwanza wa rais anatoka nchini usalama wa taifa wapo tu, inamaana hana ulinzi?
haheshimiwi kivip gentleman ?
licha ya kiburi na majivuno yake, ana ulinzi na fursa zote kama kiongozi wa kitaifa. Anaalikwa katika kila dhifa ya kitaifa ikulu na maeneo mengine but kwa chuki zake binafsi hupuuza kana kwamba kuna mtu atababaika nae.

Infact ,
kule Angola hadi rais na mawaziri kutoka sehemu mbali mbali duniani pia walizuiwa kuingia nchini humo bila kua na stakabadhi isiyo na shaka kwamba walikua wanaenda kufanya nini nchini humo 🐒
 
Back
Top Bottom