Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mzizi wa hoja aliyosema mzee Wassira ni kuwa si serikali ya Tanzania yenye mamlaka na huo uwanja wa ndege wa Angola........Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na viongozi wengine wa kisiasa kuzuiliwa uwanja wa ndege Airport.
Othman amesema kuwa yeye kama kiongozi wa Serikali taratibu zote za kiserikali zilifuata za yeye kusafiri nje ya nchi, hivyo wale wanaojaribu kupotosha wanaipaka matope Serikali yao.
"Hapa kwetu watu mbalimbali wameendelea kulipotosha jambo hili lililotufadhaisha zaidi ni upotoshaji huu kufanywa na viongozi waandamizi wa Chama cha Mapinduzi na hasa mtu ambaye hukumtegemea zaidi kama Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bara Bwana Stephen Wasira na pia Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa kule Zanzibar ndugu Hamis, upotoshaji walioufanya kwa kweli ni mbaya sana na mimi naamini kwamba wameipaka matope hata serikali kwa sababu kikubwa ambacho wamekizungumza kwa upande hasa wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kwamba hakufuata utaratibu hajui utaratibu wa kusafiri nje sasa wao inawezekana mawazo yao hizi ni siasa mimi nasema za mtaani."
"Mwingine anaweza akaona hii serikali ni ya hivyo sana kwamba makamu anasafiri kwenda nje na serikali inamuachia haifati taratibu za kidiplomasia sasa hil ni jambo la kufadhaisha. Ni vizuri kuliweka rekodi sawa sawa ili watanzania wafahamu tuna viongozi wa aina gani ndani ya Chama cha Mapinduzi"
Wasira akiwa mkoani Songwe siku ya Ijumaa alisema kuwa viongozi hao wa ACT Wazalendo na CHADEMA waache kuinyishea kidole Serikali ya Tanzania kufuatia wao kuzuiliwa huko nchini Angola.
"Wamelalamika kwa nini serikali imekaa kimya kwani sisi tunasimamia Airpoti ya Angola? Airpoti ya Angola inasimamiwa na watu wa Angola, na pia huenda walikuwa na jambo lao ambalo lilitiliwa shaka. Wangeuawa tungesema kwa nini wamewaonea watu wasiokuwa na hatia," alisema Wasira.
Viongozi hao wa ACT Wazalendo pamoja na viongozi wengine wa kisiasa walikuwa wanaenda Angola kushiriki mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika (PAD) ulioandaliwa na Taasisi ya The Brenthurst Foundation ukiwa na lengo la kuwakutanisha baadhi ya wadau wa siasa Afrika kwa madai ya kujadili demokrasia na kubadilishana uzoefu.
Pia, Soma
Wasira ni muongo tangu awali, asemapo uongo ayasema yaliyi yake kwani yeye ndiye uongo na baba wa uongo.Huyu mzee wangu Wasira anaenda kumaliza uzee wake kwa history mbaya sana , umri wa mzee uyu atakiwi kuongopa
Makongoro alishaliona hilo,lakini sasa ni bosi wake. Huwezi msikia tenaWasira ni muongo tangu awali, asemapo uongo ayasema yaliyi yake kwani yeye ndiye uongo na baba wa uongo.
Waulizeni hata NCCR mageuzi
Kwa umri wa Wasira sijui kama ana nguvu za panda shuka miaka 5 ijayoMakongoro alishaliona hilo,lakini sasa ni bosi wake. Huwezi msikia tena
Makamu wa Rais anaingia nchi ya kigeni utadhani kibaka πMakamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na viongozi wengine wa kisiasa kuzuiliwa uwanja wa ndege Airport.
Othman amesema kuwa yeye kama kiongozi wa Serikali taratibu zote za kiserikali zilifuata za yeye kusafiri nje ya nchi, hivyo wale wanaojaribu kupotosha wanaipaka matope Serikali yao.
"Hapa kwetu watu mbalimbali wameendelea kulipotosha jambo hili lililotufadhaisha zaidi ni upotoshaji huu kufanywa na viongozi waandamizi wa Chama cha Mapinduzi na hasa mtu ambaye hukumtegemea zaidi kama Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bara Bwana Stephen Wasira na pia Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa kule Zanzibar ndugu Hamis, upotoshaji walioufanya kwa kweli ni mbaya sana na mimi naamini kwamba wameipaka matope hata serikali kwa sababu kikubwa ambacho wamekizungumza kwa upande hasa wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kwamba hakufuata utaratibu hajui utaratibu wa kusafiri nje sasa wao inawezekana mawazo yao hizi ni siasa mimi nasema za mtaani."
"Mwingine anaweza akaona hii serikali ni ya hivyo sana kwamba makamu anasafiri kwenda nje na serikali inamuachia haifati taratibu za kidiplomasia sasa hil ni jambo la kufadhaisha. Ni vizuri kuliweka rekodi sawa sawa ili watanzania wafahamu tuna viongozi wa aina gani ndani ya Chama cha Mapinduzi"
Wasira akiwa mkoani Songwe siku ya Ijumaa alisema kuwa viongozi hao wa ACT Wazalendo na CHADEMA waache kuinyishea kidole Serikali ya Tanzania kufuatia wao kuzuiliwa huko nchini Angola.
"Wamelalamika kwa nini serikali imekaa kimya kwani sisi tunasimamia Airpoti ya Angola? Airpoti ya Angola inasimamiwa na watu wa Angola, na pia huenda walikuwa na jambo lao ambalo lilitiliwa shaka. Wangeuawa tungesema kwa nini wamewaonea watu wasiokuwa na hatia," alisema Wasira.
Viongozi hao wa ACT Wazalendo pamoja na viongozi wengine wa kisiasa walikuwa wanaenda Angola kushiriki mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika (PAD) ulioandaliwa na Taasisi ya The Brenthurst Foundation ukiwa na lengo la kuwakutanisha baadhi ya wadau wa siasa Afrika kwa madai ya kujadili demokrasia na kubadilishana uzoefu.
Pia, Soma
Amealikwa hakujipeleka anakuwaje kibaka?!Makamu wa Rais anaingia nchi ya kigeni utadhani kibaka π
alialikwa na vibaka wenzie sio gentleman, hata mamlaka zisiwe na taarifa?πAmealikwa hakujipeleka anakuwaje kibaka?!
Huna adabu kwa Viongozi wa Taifa.alialikwa na vibaka wenzie sio gentleman, hata mamlaka zisiwe na taarifa?π