PreGE2025 Othman amshangaa Wasira kupotosha yaliyotokea Angola, asema ameipaka matope Serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Na wewe huna tofauti na Wassira. Dish lako pia limeyumba
 
Wasira au gendaeka ni mpumbavu sana huyu arudishwe tu kwenye makazi yake asili kule hifdhi ya Gombe.
 
Makamu wa Rais anaingia nchi ya kigeni utadhani kibaka πŸ’
Aliwezaje kuondoka nchini kwake kama kibaka? Wasira toka achezee za uso toka kwa bulaya kawa kama kachanganyikiwa, ndiomaana makongoro anamsema "YUPO"
 
Aliwezaje kuondoka nchini kwake kama kibaka? Wasira toka achezee za uso toka kwa bulaya kawa kama kachanganyikiwa, ndiomaana makongoro anamsema "YUPO"
kwa kiburi alichonacho unadhani kuna mtu anababaika nae gentleman?

aende asiende hayupo mwenye muda nae Tanzania. Infact , atakua harassed sana tu huko nchi za kigeni kwasabb ya kujifanya anajua kila kitu kumbe ni kichwa maji tu πŸ’
 
Naomba mkuu kuuliza, katika protocol ,huyu makamu wa kwanza wa Zanzibar anatambulika kimataifa kama nani ?
 
Unatatizo kichwani!! Kwa nchi zenye watu wenye akili Umoja wenu ni muhimu sana nje ya mipaka ya nchi!

Madhara/la ya kuungana na ujinga ni hatari mno. Siku akikuchokoza na ukataka support ya wananchi utaaibika!!

Tuendelee na ugomvi wetu humu ndani lakini linapokuja suala la kidiplomasia ni lazima tusimame pamoja.

Nyerere alimpiga Idd Amin Kwa sababu tu Jumuiya ya Kimataifa haikusema neno au haikumkemea.

Katika hili viongozi wetu walikuwa na wajibu wa kuukemea huu upuuzi!!
 
kwa kiburi alichonacho unadhani kuna mtu anababaika nae gentleman?

aende asiende hayupo mwenye muda nae Tanzania. Infact , atakua harassed sana tu huko nchi za kigeni kwasabb ya kujifanya anajua kila kitu kumbe ni kichwa maji tu πŸ’
Yaani OMO kichwa maji? Kwenye ukoo wenu kuna mtu anampata kwa chochote ukitoa umri?
 
Yaani OMO kichwa maji? Kwenye ukoo wenu kuna mtu anampata kwa chochote ukitoa umri?
relax gentleman,
mihemko na makasiriko ni useless na completely nonsense πŸ’
 
Hivi Nani Alimshauri Mwenyekiti Amteue Bwana Wassira?

Hapa walimwingiza Mwenyekiti wetu Chaka.

Ni Aibu kwa chama kikubwa kama chama changu cha Mapinduzi kuteua mtu asiyejua kukisemea chama badala yake Analeta mizaa.

Mimi namkubali sana Ndugu Katibu Mkuu bwana Nchimbi.

Huyu bwana Hana makuu, Hana majigambo na nimtu mwerevu sana kusema hakurupuki ni mtu mwungwana sana.
 
Yan CCM bwana πŸ˜‚ Yule msomali kajiuzulu akidai umri umeenda akapumzike ndo wameleta Wasira mzee zaidi ya msomali
 
Nimekuona wa ajabu sana kusema OMO kichwa maji
Gentleman,
ujuaji mwingi mbele kiza kinene.

kiburi na majivuno kinampoteza vizuri sana tena kwa uhakika na bila wasiwasi wowote kwenye medani za siasa na hakuna mahali ataenda wala hakuna kitu atafanya, watch the sceneπŸ’
 
Sasa mtu kashakua hadi makamo wa kwanza wa rais anataka nini tena? He has nothing to lose
 
Sasa mtu kashakua hadi makamo wa kwanza wa rais anataka nini tena? He has nothing to lose
Gentleman,
sasa kama he has nothing to lose anapiga mayowe ya nini hali ya kua tatizo ni lake kutaka kuingia nchi ya watu kama anaingia chooni kwake vile?πŸ’
 
Gentleman,
sasa kama he has nothing to lose anapiga mayowe ya nini hali ya kua tatizo ni lake kutaka kuingia nchi ya watu kama anaingia chooni kwake vile?πŸ’
Tatizo haeshimiwi akiwa madarakani, na hizo hila wamefanya ccm, haiwezekeni makamo wa kwanza wa rais anatoka nchini usalama wa taifa wapo tu, inamaana hana ulinzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…