Poleni sanaKipa mwizi yule kipa anatoka golini anaibia waamuzi alafu anapewa sifa jizi
Kateni rufaa.Mbona makelele tu mitandaoni.Kipa mwizi yule kipa anatoka golini anaibia waamuzi alafu anapewa sifa jizi
Kipa mwizi yule kaibia waamuzi anatoka kwenye mstari kabla penati kupigwaPoleni sana
Kipa lenu jiziKateni rufaa.Mbona makelele tu mitandaoni.
kasema pia Yanga walikuwa off side.. hakuna sehemu walionewaLeo ktk kipindi cha Kipyenga cha mwisho, mwamuzi mkongwe Othman Kazi amechambua mikwaju ya penati katika mechi ya fainali ya ngao ya jamii na kusema kuwa ile ya Aucho na Pacome zilipaswa kurudiwa kutokana na kipa wa Simba kukiuka taratibu (kutoka mstarini kabla ya mpira kuguswa).
Kwa upande mwingine, penati ya Yao haikuwa na tatizo
Kipa lenu jizi linaibia waamuzi ilibidi akae kwenye mstari kabla ya Penati kupigwa yeye anatoka kablaWamekosa ajenda
Yanga ukiangalia vizuri hakuna offside Ila waamuzi na michongo yao tukasema pia Yanga walikuwa off side..
hakuna sehemu walionewa
pia yale ni makosa ya mwamuzi wa kati..
pia kasema ile ya kibu ni penalty.. maana kama Aucho alicheza mpira basi ilitakiwa iwe kona.
Kipa lenu jizi limeibia waamuziHii bado inawaumiza kichwa sana ndugu zetu, waambieni hii imeendaaaa! Wamove on tu.
View attachment 2720313
Ya Pacome naweza kukubali ndiyo maana picha ya penati yake sikuipost juzi ila ya Aucho ni 50/50. Kwa jicho la kawaida yule mwamuzi msaidizi ni rahisi sana kuimiss maana ni kitendo cha sekunde na kumbuka inabidi muda huo huo aangalie mpira unavyomtoka mpigaji.Leo ktk kipindi cha Kipyenga cha mwisho, mwamuzi mkongwe Othman Kazi amechambua mikwaju ya penati katika mechi ya fainali ya ngao ya jamii na kusema kuwa ile ya Aucho na Pacome zilipaswa kurudiwa kutokana na kipa wa Simba kukiuka taratibu (kutoka mstarini kabla ya mpira kuguswa).
Kwa upande mwingine, penati ya Yao haikuwa na tatizo
Hamkosi cha kusema baada ya kushindwa kunyanyua kwapaKipa lenu jizi linaibia waamuzi ilibidi akae kwenye mstari kabla ya Penati kupigwa yeye anatoka kabla
Akili kiduchuKateni rufaa.
Inauma sanaKipa mwizi yule kipa anatoka golini anaibia waamuzi alafu anapewa sifa jizi
KivipiWamekosa ajenda
AhsantePoleni sana