Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
We ndio umeongea ujinga gani hapo ukubwa upi umezidi achomoe nini?Da pole sana imezidi ukubwa nakushauri uichomoe mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndio umeongea ujinga gani hapo ukubwa upi umezidi achomoe nini?Da pole sana imezidi ukubwa nakushauri uichomoe mkuu
Nashukuru kwa ufafanuzi huo. Unaona sasa ugumu ulivyo mkubwa kwa wale waamuzi kwenye situation zileUfafanuzi wao wamesema, penalty za ndani ya dk 90. Mwamuzi msaidizi ana wajibu wa kuangalia kama kipa katoka, na hapo hata mwamuzi wa kati huwa anakaa nyuma ya mpiga penalty, ili kama kukiwa na counter attack aweze kukimbia .... ila penalty za Mwishoni hamna counter attack ana mwamuzi anakaa mbele ya mpiga penalty... yy ndiyo mwnye jukumubla kuangalia huku na huku... yule msaidizi kazi yake moja tu... kuangalia kama mpira umeingia .. Hayo yamesemwa na Waamuzi wakongwe walio kuwepo
Kuibiwa ni aibu, tena mbele ya watu wengi. Watu wengine huwa wanaficha hata taarifa za kuibiwa maana wataonekana mafala. Kwa hiyo aibu iende kwa aliyeibiwaKipa lenu jizi
Imeshatoka hiyo, imebaki story tu. Dogo kadaka basi, kama unaona ni rahisi bas kakae wewe golini utoke mstarini tuone kama utadaka.Leo ktk kipindi cha Kipyenga cha mwisho, mwamuzi mkongwe Othman Kazi amechambua mikwaju ya penati katika mechi ya fainali ya ngao ya jamii na kusema kuwa ile ya Aucho na Pacome zilipaswa kurudiwa kutokana na kipa wa Simba kukiuka taratibu (kutoka mstarini kabla ya mpira kuguswa).
Kwa upande mwingine, penati ya Yao haikuwa na tatizo
You don deserve my attentionChomoa kama inauma.Hiyo imeenda hiyo.
hoja umeicha, unabwekaMtapiga mayowe hadi msimu unaisha
Degedege utotoni inaathiri sana akiliDa pole sana imezidi ukubwa nakushauri uichomoe mkuu
Ni kweliSawa lakini Tiefuefu ilishapanga lazima mbao ya hisani iende ilikoenda...
issue kubwa iliyoibua maneno mengi ilikuwa ni mikwaju ya penati. Penati ilikuwa ya waziHaya hakusikia.Alikuwa ameenda msalani.Pale ni wawili tu.[emoji848]
sawaKunywa maji mengi!
okKunywa pain killer...
mmmmhKama refa kalala ?
mmmmmhKwa maana hio Yanga alikuwa Wakufa tu tena washukuru Mungu hata walikuja kufa kwenye Penalti
jibu hojaMALALAMIKO F.C.
sawaKunywa maji mengi. Maumivu yakizid muone daktari
kama iliisha umekuja kujadili nn hapaAkachambue mchele mechi ilishaisha
vichaa wengi sana humuWe ndio umeongea ujinga gani hapo ukubwa upi umezidi achomoe nini?
wewe ni mfano nzuri wa mtoto aliyelelewa na baba wa kamboIkiuma chomoa