Othman Kazi: Penati mbili kati ya tatu za Ngao ya jamii zilipaswa kurudiwa

kasema pia Yanga walikuwa off side..
hakuna sehemu walionewa

pia yale ni makosa ya mwamuzi wa kati..

pia kasema ile ya kibu ni penalty.. maana kama Aucho alicheza mpira basi ilitakiwa iwe kona.
sawa
 
Mtapiga mayowe hadi msimu unaisha
 
Ufafanuzi unaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa lakini Tiefuefu ilishapanga lazima mbao ya hisani iende ilikoenda...
 
kasema pia Yanga walikuwa off side..
hakuna sehemu walionewa

pia yale ni makosa ya mwamuzi wa kati..

Pia kasema ile ya kibu ni penalty.. maana kama Aucho alicheza mpira basi ilitakiwa iwe kona.
Haya hakusikia.Alikuwa ameenda msalani.Pale ni wawili tu.🤔
 
MALALAMIKO F.C.
 
Ufafanuzi wao wamesema, penalty za ndani ya dk 90. Mwamuzi msaidizi ana wajibu wa kuangalia kama kipa katoka, na hapo hata mwamuzi wa kati huwa anakaa nyuma ya mpiga penalty, ili kama kukiwa na counter attack aweze kukimbia .... ila penalty za Mwishoni hamna counter attack ana mwamuzi anakaa mbele ya mpiga penalty... yy ndiyo mwnye jukumubla kuangalia huku na huku... yule msaidizi kazi yake moja tu... kuangalia kama mpira umeingia .. Hayo yamesemwa na Waamuzi wakongwe walio kuwepo
 
yule msaidizi kazi yake moja tu... kuangalia kama mpira umeingia
Kwenda zako kanuni ndio zinasema hivyo hivi unaujua vizuri mpira wewe au umedandia mtumbwi?

Kipa katokea mpira unarudishwa penati inafutwa na anapewa onyo na mwamuzi hakuna kutoka kwenye mstari kabla penati haijapigwa
 
Hiyo ni Technic Kama Refa hakumkamata basi ndo Simba Alisha shinda kombe
Pili mbona una bias hujazungumzia penalty za Simba kibu alichezewa Rafi hiyo Ilikuwa penalty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…