Othman Kazi: Penati mbili kati ya tatu za Ngao ya jamii zilipaswa kurudiwa

Nashukuru kwa ufafanuzi huo. Unaona sasa ugumu ulivyo mkubwa kwa wale waamuzi kwenye situation zile
 
Imeshatoka hiyo, imebaki story tu. Dogo kadaka basi, kama unaona ni rahisi bas kakae wewe golini utoke mstarini tuone kama utadaka.


Au nasema uongo jamani wanaSimba
 
Jamani Yangu wenzangu acheni roho mbaya waacheni na wao wapumue kidogo

Jinsi tulivyowanyanyasa ndani ya dk 90 inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…