GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Tanganyika haitakufa.IGA imetamka wazi kwamba itaendelea kuheshimika milele iwe Serikali ya chama kingine cha siasa au hata jina la nchi libadilike. Hiyo Tanganyika yako unayotaka kudai itakusaidia nini wakati Mbarawa na timu yake ya Wazanzibari washatufix?
Kama wana nia hiyo nitawaunga mkono ili na sisi tuipate Tanganyika yetu.Mwinyi amedhamiria awe Rais Kamili sio wa sweta la muungano.
Naiona Dhamira ya Mama na Hussein Mwimlnyi hawataki dharau
Tutakuja kumshukuru huyu mama sa100. Kuna sehemu niliandika hii kitu. Aliewaamsha na anayewaamsha Tanganyika toka usingizi wapono ni huyu mama. Bila yeye kuruhusu hizi sarakasi za Dpw, nina huhakika Mitanganyika mingi ingekuwa bado imelala.Issue ya Bandari itaenda sambamba na katiba. Hakuna kupoa.
Rasimu ya Mhe. Warioba ndiyo maoni ya wananchi.Katiba Sitta na Samia hafia. Mchakato uanzie kwenye Rasimu ya Judge Waryoba!
Ndo hivyo akizingua watampima DNA wajue hiyo mbegu yake asili yake wapi? Kongo au Burundi?Aliyewaangusha kwa kukataa Katiba Pendekezwa ya Tume ya Warioba ni nani kama sio Samia Katika zile Kura ?
Ahahahahaha! Nakupa mfano mmoja tu. Kati ya Mzanzibari na Mtanganyika nani kawekeza zaidi kwa mwenzake in terms of majumba, biashara, mashamba, nk? Wabara wenye nia ovu washaona mbele Dogo! Ni juu yao Wazanzibari kuingia mkenge! Ahahahahaha!!!Yaani Mtanganyika awe na nia ovu kwa wazanzibari? Ili afaidike nini?
Acha porojo.
Alivyozingua mwanzo walimfanya nini ? Wanzanzibar majority walikuwa wanataka Serikali tatu yeye alipiga Kura tofauti na minority wengineNdo hivyo akizingua watampima DNA wajue hiyo mbegu yake asili yake wapi? Kongo au Burundi?
Usiwe na hofu mkuu. Msimamo wa Watanganyika umekuwa wazi siku nyingi. Tunaitaka Tanganyika yetu.Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'
My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Dakika ya 52 hadi 56.Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'
My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Mbona tayari Zanzibar ina mamlaka ?Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'
My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Hivi kwa umri wa Wassira kuna haja ya kumsikiliza ?Wasira anatumia dakika 10 kuiponda Konyagi kwenye mkutano wa CCM mwanza, wenzake wanamwaga nondo za kukomboa nchi yao.
Hata sasa wamelala, nimeshangaa kusikia eti watu wa visiwani wamekodishiwa meli mbili kwenda mwanza kuhudhuria mkutano wa Chongolo nao wakapanda wanachekelea kama mazuzuzuTutakuja kumshukuru huyu mama sa100. Kuna sehemu niliandika hii kitu. Aliewaamsha na anayewaamsha Tanganyika toka usingizi wapono ni huyu mama. Bila yeye kuruhusu hizi sarakasi za Dpw, nina huhakika Mitanganyika mingi ingekuwa bado imelala.
hawataweza hata chembeWanataka kuhamisha goli
Huyo juu kabisa ndo wa kwanza anotaka Nchi yao irudi kuwa Taifa kamili. Mawasiliano yao wanotaka hivyo ni kuvaa rangi za Zambarau. Huko bara hamujui kitu maskini.Ikiwa Wazanzibari (najua sio wengi) watataka wajitenge, ni Wazanzibari wenyewe ndio watakaopata hasara. Wabara wengi wanawachochea sana Wazanzibari wajitenge kumbe hawawapendi wakinung'unika kuwa Wazanzibari wanawanyonya! Zanzibar shauri yenu!!!
Yaani kwa pumba zile watengenezaji wa Konyagi wanahaki zote za kumshtaki.Hivi kwa umri wa Wassira kuna haja ya kumsikiliza ?
Masikini watu wa hivyo Visiwa! Sasa wangefanyeje kama ofa kama hiyo imewafuata hadi mlangoni? Huenda hawajawahi kuona majumba yaliyopandiana, kwa hiyo kwenda Mwanza ni fursa ya kwenda kutalii.Hata sasa wamelala, nimeshangaa kusikia eti watu wa visiwani wamekodishiwa meli mbili kwenda mwanza kuhudhuria mkutano wa Chongolo nao wakapanda wanachekelea kama mazuzuzu
Hilo halitatokea, kuna watu wa nje wanamiki nyumba hapa Tz. Utaratibu mzuri utawekwa sio hivyo uonavyoAhahahahaha! Nakupa mfano mmoja tu. Kati ya Mzanzibari na Mtanganyika nani kawekeza zaidi kwa mwenzake in terms of majumba, biashara, mashamba, nk? Wabara wenye nia ovu washaona mbele Dogo! Ni juu yao Wazanzibari kuingia mkenge! Ahahahahaha!!!
Hivi kwa umri wa Wassira kuna haja ya kumsikiliza ?
Wakipata Zanzibar yao tayari utakua ushapata Tanganyika yenuMhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'
My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Hawataki tatu. Ziwe tatu au sita sio shida. Wao wanataka zenji isiwe Nchi tu bali liwe Taifa kamili, ndo wanaita mamlaka kamili. Halafu mkitaka uwepo Muungano kama wa EAC au SADC kama Tanganyika hio hamuitaki basi poa. Wazenji wapo teyari wote kwa hilo na hata huyo kabisa kabisa nae ndio mrengo wake. Mtajiju na ushamba wenu. Hakunaga Mzanzibari halisi ambae ni CCM kweli, hio sera mbovu ya CCM ndo inokataza ZNZ kuwa Taifa kamili.Alivyozingua mwanzo walimfanya nini ? Wanzanzibar majority walikuwa wanataka Serikali tatu yeye alipiga Kura tofauti na minority wengine