Othman Masoud: Tumeambiwa Bunge la Katiba linarejea septemba mwaka huu, Zanzibar yenye mamlaka kamili yanukia

IGA imetamka wazi kwamba itaendelea kuheshimika milele iwe Serikali ya chama kingine cha siasa au hata jina la nchi libadilike. Hiyo Tanganyika yako unayotaka kudai itakusaidia nini wakati Mbarawa na timu yake ya Wazanzibari washatufix?
Tanganyika haitakufa.
 
Issue ya Bandari itaenda sambamba na katiba. Hakuna kupoa.
Tutakuja kumshukuru huyu mama sa100. Kuna sehemu niliandika hii kitu. Aliewaamsha na anayewaamsha Tanganyika toka usingizi wapono ni huyu mama. Bila yeye kuruhusu hizi sarakasi za Dpw, nina huhakika Mitanganyika mingi ingekuwa bado imelala.
Kaileta Dpw kati, harafu anapiga cross ya mjadala wa katiba. Yeye kesha jitoshekea hafi njaa kwa lolote liwalo. Tatizo ni mifisadi mitaka cheo ya ccm mioga ndio hiyo ilileta katiba pendekezwa ya Chenge
 
Aliyewaangusha kwa kukataa Katiba Pendekezwa ya Tume ya Warioba ni nani kama sio Samia Katika zile Kura ?
Ndo hivyo akizingua watampima DNA wajue hiyo mbegu yake asili yake wapi? Kongo au Burundi?
 
Yaani Mtanganyika awe na nia ovu kwa wazanzibari? Ili afaidike nini?

Acha porojo.
Ahahahahaha! Nakupa mfano mmoja tu. Kati ya Mzanzibari na Mtanganyika nani kawekeza zaidi kwa mwenzake in terms of majumba, biashara, mashamba, nk? Wabara wenye nia ovu washaona mbele Dogo! Ni juu yao Wazanzibari kuingia mkenge! Ahahahahaha!!!
 
Ndo hivyo akizingua watampima DNA wajue hiyo mbegu yake asili yake wapi? Kongo au Burundi?
Alivyozingua mwanzo walimfanya nini ? Wanzanzibar majority walikuwa wanataka Serikali tatu yeye alipiga Kura tofauti na minority wengine
 
Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'

My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Usiwe na hofu mkuu. Msimamo wa Watanganyika umekuwa wazi siku nyingi. Tunaitaka Tanganyika yetu.

Watanganyika pekee wasioitaka Tanganyika ni wale wachache wanaonufaika na madhaifu ya Muungano. Lakini waliosalia, pengine, zaidi ya asilimia tisini, wanaitaka Tanganyika yao.

Tunaitaka Tanganyika yenye mamlaka kamili.
 
Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'

My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Dakika ya 52 hadi 56.
Anasema ujinga ujinga wa Muungano basi. Anajuwa Dada yake ni Zambarau mwenzake, japo Watanganyika hamujui maana na code lengueji iliopo mtu akikuvalia ushungi au flana ya Zambarau. Maana yake Zanzibar lazima irudi kuwa Taifa, sio nchi tu kama ilivyo sasa.

Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'

My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Mbona tayari Zanzibar ina mamlaka ?
 
Tutakuja kumshukuru huyu mama sa100. Kuna sehemu niliandika hii kitu. Aliewaamsha na anayewaamsha Tanganyika toka usingizi wapono ni huyu mama. Bila yeye kuruhusu hizi sarakasi za Dpw, nina huhakika Mitanganyika mingi ingekuwa bado imelala.
Hata sasa wamelala, nimeshangaa kusikia eti watu wa visiwani wamekodishiwa meli mbili kwenda mwanza kuhudhuria mkutano wa Chongolo nao wakapanda wanachekelea kama mazuzuzu
 
Ikiwa Wazanzibari (najua sio wengi) watataka wajitenge, ni Wazanzibari wenyewe ndio watakaopata hasara. Wabara wengi wanawachochea sana Wazanzibari wajitenge kumbe hawawapendi wakinung'unika kuwa Wazanzibari wanawanyonya! Zanzibar shauri yenu!!!
Huyo juu kabisa ndo wa kwanza anotaka Nchi yao irudi kuwa Taifa kamili. Mawasiliano yao wanotaka hivyo ni kuvaa rangi za Zambarau. Huko bara hamujui kitu maskini.
 
Hata sasa wamelala, nimeshangaa kusikia eti watu wa visiwani wamekodishiwa meli mbili kwenda mwanza kuhudhuria mkutano wa Chongolo nao wakapanda wanachekelea kama mazuzuzu
Masikini watu wa hivyo Visiwa! Sasa wangefanyeje kama ofa kama hiyo imewafuata hadi mlangoni? Huenda hawajawahi kuona majumba yaliyopandiana, kwa hiyo kwenda Mwanza ni fursa ya kwenda kutalii.

Wengine hawakwenda mkutanoni, pengine. Walienda kulishangaa jiji.
 
Ahahahahaha! Nakupa mfano mmoja tu. Kati ya Mzanzibari na Mtanganyika nani kawekeza zaidi kwa mwenzake in terms of majumba, biashara, mashamba, nk? Wabara wenye nia ovu washaona mbele Dogo! Ni juu yao Wazanzibari kuingia mkenge! Ahahahahaha!!!
Hilo halitatokea, kuna watu wa nje wanamiki nyumba hapa Tz. Utaratibu mzuri utawekwa sio hivyo uonavyo
 
Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'

My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Wakipata Zanzibar yao tayari utakua ushapata Tanganyika yenu
 
Alivyozingua mwanzo walimfanya nini ? Wanzanzibar majority walikuwa wanataka Serikali tatu yeye alipiga Kura tofauti na minority wengine
Hawataki tatu. Ziwe tatu au sita sio shida. Wao wanataka zenji isiwe Nchi tu bali liwe Taifa kamili, ndo wanaita mamlaka kamili. Halafu mkitaka uwepo Muungano kama wa EAC au SADC kama Tanganyika hio hamuitaki basi poa. Wazenji wapo teyari wote kwa hilo na hata huyo kabisa kabisa nae ndio mrengo wake. Mtajiju na ushamba wenu. Hakunaga Mzanzibari halisi ambae ni CCM kweli, hio sera mbovu ya CCM ndo inokataza ZNZ kuwa Taifa kamili.
 
Back
Top Bottom