Sahihi kabisa.Hamna namna zaidi ya kuuvunja. Ni bora mwarabu atushtaki kwa kuvunja legitimate expectations kuliko kusubiri adai fidia ya uwekezaji wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa.Hamna namna zaidi ya kuuvunja. Ni bora mwarabu atushtaki kwa kuvunja legitimate expectations kuliko kusubiri adai fidia ya uwekezaji wake.
Uvccm huwa wanajinaga sijui watu gani.Unambishia Makamu wa kwanza wa Rais? Hivi akili za kiccm zimechoka kiasi hiki? Kati yake na wewe ni nani ana taarifa za ndani zaidi?
Aliyewaangusha kwa kukataa Katiba Pendekezwa ya Tume ya Warioba ni nani kama sio Samia Katika zile Kura ?Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'
My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Wazanzibar wao wnaadai wananyonywa. Wanataka kujifanyia maamuzi yao.Ikiwa Wazanzibari (najua sio wengi) watataka wajitenge, ni Wazanzibari wenyewe ndio watakaopata hasara. Wabara wengi wanawachochea sana Wazanzibari wajitenge kumbe hawawapendi wakinung'unika kuwa Wazanzibari wanawanyonya! Zanzibar shauri yenu!!!
Nakwambia hivi porojo hizo,aliyetangaza kuanza Kwa mchakato ni Waziri wa Sheria anachoongea huyo act na maoni Yako ni porojo.Unambishia Makamu wa kwanza wa Rais? Hivi akili za kiccm zimechoka kiasi hiki? Kati yake na wewe ni nani ana taarifa za ndani zaidi?
Samia au Mamluki wa ccm ambao ni mafisadi?Aliyewaangusha kwa kukataa Katiba Pendekezwa ya Tume ya Warioba ni nani kama sio Samia Katika zile Kura ?
Samia alikuwa mmoja wa wawakilishi kutoka Zanzibar; unadhani Kura yake ilichagua nini kama sio Katiba ya SittaSamia au Mamluki wa ccm ambao ni mafisadi?
Kwani hili jeshi lenu lilijaa kila mtaa pamoja na usalama wenu wengine wanaovaa rubega Za kimasai wanafanya kitu gani ? Tumechoka kutawaliwa na Tanganyika tuwacheni tupumuweIkiwa Wazanzibari (najua sio wengi) watataka wajitenge, ni Wazanzibari wenyewe ndio watakaopata hasara. Wabara wengi wanawachochea sana Wazanzibari wajitenge kumbe hawawapendi wakinung'unika kuwa Wazanzibari wanawanyonya! Zanzibar shauri yenu!!!
Huyo Mzee kanywa sana Gongo wakati anauza Sato pale Msasani Namanga baada ya kutoswa na Mkapa!Mwambie mzee Wasira alichofanya huko Mwanza hakikubaliki. Hotuba nzima anasema Konyagi ni mbaya. Kwa kweli ametukwaza sana wapenzi wa Konyagi.
Hizo ni hisia mbaya wanaingiziwa na Wabara wenye Nia ovu dhidi ya Wazanzibari. Mwisho wa siku ni juu yao. Lakini Wabara wenye Nia ovu ndio watakaoshangilia zaidi ikitokea na Wazanzibari watajikuta wameingizwa mkenge!Wazanzibar wao wnaadai wananyonywa. Wanataka kujifanyia maamuzi yao.
Sina hakika kama wewe ni Mzanzibari.Kwani hili jeshi lenu lilijaa kila mtaa pamoja na usalama wenu wengine wanaovaa rubega Za kimasai wanafanya kitu gani ? Tumechoka kutawaliwa na Tanganyika tuwacheni tupumuwe
Na hili linaenda kutokea soon.Hizo ni hisia mbaya wanaingiziwa na Wabara wenye Nia ovu dhidi ya Wazanzibari. Mwisho wa siku ni juu yao. Lakini Wabara wenye Nia ovu ndio watakaoshangilia zaidi ikitokea na Wazanzibari watajikuta wameingizwa mkenge!
😅😅😅Kwani hili jeshi lenu lilijaa kila mtaa pamoja na usalama wenu wengine wanaovaa rubega Za kimasai wanafanya kitu gani ? Tumechoka kutawaliwa na Tanganyika tuwacheni tupumuwe
Tunadai vyote..Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'
My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Bandari ndiyo kwishney , wacha mwarabu ajifaraguwe. Mliitesa Zanzibar miska zaidi ya 60 wacha Karma iwachapeTunapiga kote kote.
Jiwe moja ndege mia
😅😅😅Bandari ndiyo kwishney , wacha mwarabu ajifaraguwe. Mliitesa Zanzibar miska zaidi ya 60 wacha Karma iwachape
Hakuna fukuto lolote la kudai Tanganyika. Narudia HALIPO! Mambo ya Utanganyika ni ya Wabara wenye nia ovu tu dhidi ya Wazanzibari. Nami nasema, Wazanzibari wakiwasikiliza; Kalaghabhao!!!Na hili linaenda kutokea soon.
Zamani wazanzibari walikuwa wakidai kwa nguvu Muungano wa serikali Tatu.
Kwa kuwa watanganyika hawakutilia maanani ndio maana jambo hili halikufanikiwa.
Kwa sasa kutokana na mfumo mbovu uliochagizwa na DPW sasa na watanganyika wanadai Tanganyika yao.
Fukuto ni kubwa kuliko awali.
Ngoja tuoneVatican imeshatowa "go ahead"?
Yaani Mtanganyika awe na nia ovu kwa wazanzibari? Ili afaidike nini?Hakuna fukuto lolote la kudai Tanganyika. Narudia HALIPO! Mambo ya Utanganyika ni ya Wabara wenye nia ovu tu dhidi ya Wazanzibari. Nami nasema, Wazanzibari wakiwasikiliza; Kalaghabhao!!!