The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Huku Mtaani wanasema Mama kajifunga kibwebwe hataki mchezo😁Samia nae atasifiwa tu siku ikifika
Dah hata hitler bado anatrendHis Name Shall Survive ,RIP JPM.
Mbona TWAHA MWAIPANYA WA CHEDEMA HUJAMTAJA? Au unajua yuko wapi?Mmh.......
Hivi hakuona, namna watu wasiojulikana, walivyoshamiri Katika kipindi hicho cha Mwendazake?
Hivi hakuona namna Demokrasia, ilivyominywa Katika kipindi hicho?
Hivi hakuona namna watu, kama akina Saanane, Azory Gwanda nk, walivyopotea Katika kipindi hicho cha Magu?
Sasa inakuwaje Makamu Mwenyekiti huyo wa SUK wa Zenj, amuone Magu kuwa bora zaidi ya Mama?
Unateseka?Mm nilijua limefufuka
Bwana wee! Mm mwenyewe nimeogopa sana. Nikafungua uzi kwa kasi.ya upepo nikidhani dikteta dhalimu limefufuka.Mm nilijua limefufuka
Cheo gani?Kwani huyo bwana alipata cheo wakati wa Magufuli au Samia?, tuanzie hapo!
Akihojiwa na mwandishi wa BBC kuhusu mchakato wa katiba mpya, mtaalamu huyo wa Sheria ambaye pia ni makamu wa kwanza wa rais Zanzibar, kupitia ACT wazalendo amesema kwenye utawala uliopita wa awamu ya 5 chini ya Magufuli tumejifunza kwamba kumbe tukipata mtu jasiri tunaweza kupiga hatua.
Na akashauri tunahitaji katiba mpya ili kuwajengea mifumo watu jasiri kama huyu ili haya aliyofanya yafanywe kimfumo na si kumtegemea mtu.
Sijui hii tafsiri yake nini kuhusu hiki chama.!
Tafsiri yake ni kwamba hiki chama wanafikiri nje ya box ukilinganisha na kile chama kingine ambacho uwezo wao wa kufikiri ni kama hawa 👇Sijui hii tafsiri yake nini kuhusu hiki chama.!
[emoji16]Unateseka?
Na bado.....magu ni kiboko....yani anawanyima amani hadi wafu wanaotembea