Otile ameangusha nyingine bonge la

Kwa taarifa yako watu wa Mombassa wanasikiliza 100% bongo flava na watanzania wamejaa kibao kule hata kiswahili kimekua cha Kibongo
Eti kiswahili kekuwa cha kibongo..mtz akija msa hukoselew hadi hukaa kimyaa tu..hujui kitu kuhusu mwambao bro
 
Herufi zipi? Kuna kipindi nilifika nakumat Mombasa kuna Mdada anafanya kazi pale alinipenda kwa kiswahili changu akanipa hadi na namba nimtafute
Tanzania pia kuna waswahili lakini nashuku wewe sio mswahili kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…