Junior Clinton Mr.
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 1,075
- 1,423
Ulikua hujui[emoji23] Mombasa was a part of Zanzibar before your white masters bought it kipindi hichoAti nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikua hujui[emoji23] Mombasa was a part of Zanzibar before your white masters bought it kipindi hichoAti nini?
Heheeee!!!povu hilo...Unamaanisha mu boycott bongoflava then msapoti Bongo flava?? Maana Otile Brown na wenzake wanaimba bongoflava pure[emoji23]
Lakini saa hii Mombasa iko wapi?
Tamu gani hta herufi kuzitamka zawashindaYou simply can't resist Bongo Music, Swahili yetu ni Tamuuu
Taarifa gani unayonipa...mombasa sauzi kw sana...uhuru tuKwa taarifa yako watu wa Mombassa wanasikiliza 100% bongo flava na watanzania wamejaa kibao kule hata kiswahili kimekua cha Kibongo
Tamu gani hta herufi kuzitamka zawashinda
Eti kiswahili kekuwa cha kibongo..mtz akija msa hukoselew hadi hukaa kimyaa tu..hujui kitu kuhusu mwambao broKwa taarifa yako watu wa Mombassa wanasikiliza 100% bongo flava na watanzania wamejaa kibao kule hata kiswahili kimekua cha Kibongo
Kabla eti kabla ya kwenda kenya....muarabu kaichukua pwani kw wakenya..ilibidi muingereza atumie akili kw kuinunua tu..hakutaka mengiKwani Mombasa si ilikua pwani ya Zanzibar ya kwenda Kenya?
Eti kiswahili kekuwa cha kibongo..mtz akija msa hukoselew hadi hukaa kimyaa tu..hujui kitu kuhusu mwambao bro
Nakumatt gani hyo?Herufi zipi? Kuna kipindi nilifika nakumat Mombasa kuna Mdada anafanya kazi pale alinipenda kwa kiswahili changu akanipa hadi na namba nimtafute
Kwanini?Tanzania pia kuna waswahili lakini nashuku wewe sio mswahili kamili.
Humwelewi na yeye ndiye mungu wa watanzania .mnamwabudu kila wakati.Huyo anaingiza mbwembwe zake tu saa nyingine hata mm sielewi.
Nakumatt gani hyo?
Tanzania hakuna waswahili bro...wasikuhadae...tz ukiita mtu mswahili unamanisha muafrika..hawana lolote...Tanzania pia kuna waswahili lakini nashuku wewe sio mswahili kamili.
Sasa hapa ndio nlipikua napasubiri.Kwani Mombasa si ilikua pwani ya Zanzibar kabla ya kwenda Kenya?
Ofcorse ni Baba wa muziki, na hayo maneno yake anayoongea yanaongeza ladha ya nyimbo lakini sio yote nnayoyaelewaHumwelewi na yeye ndiye mungu wa watanzania .mnamwabudu kila wakati.
You call him simba