Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Kabisa mim nilishawahi kufika hadi huko mombasa kwa jamaa zangu huko.Kabisa, Niliishi Tanga kipindi flani nilishangaa sana hilo swala nilipouliza inakuaje wananiambia wa Mombasa ni ndugu zetu wa damu
Dunia nzima? Labda useme kuzungumza sio kuandika maana nyie mnakosea sana mkiandika kwa mfano mahali na mahari. Yaani mbongo akikutungia sentensi huwezi elewa anachomaanisha. Nampeleka hamisa mahari. Hapa anamaanisha anampeleka Pahala fulani lakini ana makosa ya kiherufi hivyo sentensi yake yamaanisha jambo lingineSio kweli, sio wengi, ila sikatai Kama wapo baadhi wanaoshindwa kutofautisha, na sio tatizo la Tz Pekee ni Dunia nzima
Mkuu kwani Mombasa wanaimba bongo fleva pia? Manake sijajua mziki wa mombasa una sound vipi zaidi ya taarabu ndio huwa nasikia toka mombasa.Hajacopy chochote. Sema tu wimbo wake unafanana na wa Tanzania. Kiswahili kilianzia kisiwa cha Mombasa. Otile anatokea Mombasa na kiswahili anakifahamu vyema. Waswahili wa Mombasa na Lamu wameongea Kiswahili tangu enzi za waomani.
Juu ya mzungu kuinyaka baada yake waarabu ndio wkamalizia.Halafu mzungu akainyaka haha poleni sana wazanzibari. Mzungu anapenda mazuri .
Kuna kiswahili cha pwani na cha bara, vyote vizuri lakini inasemekana cha Pwani ndio Sahihi zaidi.Sawa sina ubishi. Tatizo ninyi watanzania kwa sababu mnaongea kiswahili sanifu mnadhania kwamba nyinyi ndio waswahili original. Waswahili original wanatokea Mombasa, Pemba na Zanzibari kama sijakosea.
Dunia nzima? Labda useme kuzungumza sio kuandika maana nyie mnakosea sana mkiandika kwa mfano mahali na mahari. Yaani mbongo akikutungia sentensi huwezi elewa anachomaanisha. Nampeleka hamisa mahari. Hapa anamaanisha anampeleka Pahala fulani lakini ana makosa ya kiherufi hivyo sentensi yake yamaanisha jambo lingine
Nafkiri huu mjadala unafaa kusema ni watanzania bara na sio watanzania wote.Dunia nzima? Labda useme kuzungumza sio kuandika maana nyie mnakosea sana mkiandika kwa mfano mahali na mahari. Yaani mbongo akikutungia sentensi huwezi elewa anachomaanisha. Nampeleka hamisa mahari. Hapa anamaanisha anampeleka Pahala fulani lakini ana makosa ya kiherufi hivyo sentensi yake yamaanisha jambo lingine
Mwanzo ki ungaja quality sanaMkuu Zanzibar lahaja pia za kiswahili kma huko.
Mfano:kuna kiswahili cha unguja mjini,kiswahili cha kipemba,kiswahili cha kimakunduchi,kiswahili cha kitumbatu na hvyo vyote ni viswahili.
Huyo kwani anaimba mziki aina gani?This boy is going far. Kenyans should boycott bongo flavour and support this one to the fullest. He's talented
Distance sio hoja mkuu ni bora kila taifa limeridhika kma kufika huko pia tunafika na nyie mnafika.Sultan janja janja sana...alikuja akanyakuwa tu...sasa cheki distance ya mombasa na zenji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hajui wakenya ndio wanawasapoti. Wakisusia hizo ngoma zao watapata taabu sana. I doubt whether they are second in Africa as he claims. There is Nigeria, S.A,Congo just to mention a few
Nadhania Pemba, Mombasa na Zanzibar zilikuwa muungano kabla ya mzungu kunyaka Mombasa. Kwa hivyo zanzibar pia ina waswahili original ila Tanzania bara ndio ambao sio original.Nami mbna watanzania wote ninao wafahamu wana hayo matatizo
Kabisa kwasababu ndio kinachoongelewa na wengi.Mwanzo ki ungaja quality sana
Hapo uko sahihi bro....tanzania hamna waswahili..wamesaidiwa na wa zanzibar..Nadhania Pemba, Mombasa na Zanzibar zilikuwa muungano kabla ya mzungu kunyaka Mombasa. Kwa hivyo zanzibar pia ina waswahili original ila Tanzania bara ndio ambao sio original.
Wapemba mwanzo wanazingua sana...Kabisa kwasababu ndio kinachoongelewa na wengi.
Nikiona hao watu roho yangu husuuzika kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo uko sahihi bro....tanzania hamna waswahili..wamesaidiwa na wa zanzibar..
Nikitaja waswahili namaanishaView attachment 902651View attachment 902652View attachment 902653
Hhhhh[emoji23] [emoji23] wapemba ni ndugu zetu.Wapemba mwanzo wanazingua sana...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...Nikiona hao watu roho yangu husuuzika kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli man...wasafi tu..na ni diamond na harmonize tu...wengine wote wanaimba ni sawa na local tu...
Mkuu nimewapata wengi tu huko nakumbuka niliwahi kufika nairobi 2013-16.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...
Ushawai pata mmoja nn mkuu