Duh!!wale jamaa kw kutoelewa tu..hawajamboHhhhh[emoji23] [emoji23] wapemba ni ndugu zetu.
Hhhh hao mishipa yao ilishindikana kuwekwa sawa[emoji23] [emoji23]Duh!!wale jamaa kw kutoelewa tu..hawajambo
Hhaaaaaa!!hyo n kwel...wale jamaa sijui wakoje wakoje yaniHhhh hao mishipa yao ilishindikana kuwekwa sawa[emoji23] [emoji23]
Hujui Otile ndiyo anatetemesha mambo Kenya sasa hivi?
Mim niliwazoea ndugu zangu[emoji23] [emoji23]Hhaaaaaa!!hyo n kwel...wale jamaa sijui wakoje wakoje yani
Kiswahili ni kiswahili na hakina majina.. ulizotaja ni lahaja za kiswahili...Kuja ufunzwe kimvita wewe....ama wataka ki jomvu..au pia wataka kigunya...au pia wataka ki amu...haya na wewe nitajie cha dar...au kwenu kiswahili hakina majina...heheeeee!!!labda mnakiita kizaramo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ju ya watu wawili. Sasa wakikufa mtafanya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili ni tatizo la kikabila zaidi. Mfano Sisi watu wa nyanda za juu kusini katika lugha zetu za kibantu hatuna herufi 'r' hivyo usitegemee Sisi tukang'ata ulimi kuitamka hiyo herufi. Pia baadhi ya wazenji na wamakonde hawana herufi 'm' na badala yake wanatumia 'n', mfano mtu kwao ni ntu.Vipi kuhusu confusion ya l na r?mbona watanzania wengi hawajui kutofautisha?
Yah..hzo ni lahaja nafahamu tena sana...ila dar najuwa hamna..mnaongea bila mpangilio tuKiswahili ni kiswahili na hakina majina.. ulizotaja ni lahaja za kiswahili...
Sijui umeelewa mzee [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hujui Otile ndiyo anatetemesha mambo Kenya sasa hivi?
Brazee kwani kuna mtu ana sole rights za lugha..it just happen waTz ndo tunakitumia zaidi kiswahili na hayo mengine ni stories..Hajacopy chochote. Sema tu wimbo wake unafanana na wa Tanzania. Kiswahili kilianzia kisiwa cha Mombasa. Otile anatokea Mombasa na kiswahili anakifahamu vyema. Waswahili wa Mombasa na Lamu wameongea Kiswahili tangu enzi za waomani.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wew Congo ilkua enzi hizo, Senegal ndo kabisa, yaan apo labda SA na Nigeria ndo wanatuzid wengine kapuniBy the way! Congo,S.A,Ghana, Nigeria,Senegal na Uganda zikiwachwa wapi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tz haiko hata kwa map.
I am talking of Akon,Kofi Olomide,Whizkid, etc.
Tanzania ipo second baada ya nigeria... SA ni third...congo yupo nyuma ya ghana.... SA wapo vizuri sana in hip hop[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hajui wakenya ndio wanawasapoti. Wakisusia hizo ngoma zao watapata taabu sana. I doubt whether they are second in Africa as he claims. There is Nigeria, S.A,Congo just to mention a few
Yah..hzo ni lahaja nafahamu tena sana...ila dar najuwa hamna..mnaongea bila mpangilio tu
Hiyo bangi ya Moshi Arusha uliyovuta ulinunua pesa ngapi? Inaonekana ina steam nzito sana?
Hajacopy chochote. Sema tu wimbo wake unafanana na wa Tanzania. Kiswahili kilianzia kisiwa cha Mombasa. Otile anatokea Mombasa na kiswahili anakifahamu vyema. Waswahili wa Mombasa na Lamu wameongea Kiswahili tangu enzi za waomani.
Kwani hao Nigeria et al., mziki wao wanasapotiwa na nchi zao pekee au mi ndo sielewi [emoji849]
Who and who....Tanzania doesn't just have bongo damn fleva, there's bongo dance, taarab, mchiriku, singeli.
Hata Kenya kuna hilo tatizo la herufi. Watu wanakizungumza kiswahili kwa lafudhi zao za lugha za kikabila ila linapokuja swala la maandishi wanaandika vizuri tu. Tena kiswahili kinachofundishwa Kenya ni fasaha na ni nadra kuwapata walimu wa kiswahili wakikosea kisarufi. Shule za msingi wanafunzwa sanifu na muftiHili ni tatizo la kikabila zaidi. Mfano Sisi watu wa nyanda za juu kusini katika lugha zetu za kibantu hatuna herufi 'r' hivyo usitegemee Sisi tukang'ata ulimi kuitamka hiyo herufi. Pia baadhi ya wazenji na wamakonde hawana herufi 'm' na badala yake wanatumia 'n', mfano mtu kwao ni ntu.
Wakati nakua nilikua napenda kusikiliza wimbo wa yalaiti ulioimbwa na Bi Malika wa umombasani. Nikagundua nyie hamna herufi mwambatano 'chi'. Badala ya kusema 'sikuachi' yeye anasema 'sikuati'.
Kiswahili kina lahaja nyingi sana ila Sisi Watanzania tumechagua lahaja ya kiunguja. Kwahiyo kinachotuunganisha ni hicho kiunguja nje na hapo tuna tofauti ndogo ndogo nyingi tu.