Otile ameangusha nyingine bonge la

Otile ameangusha nyingine bonge la

Sawa sina ubishi. Tatizo ninyi watanzania kwa sababu mnaongea kiswahili sanifu mnadhania kwamba nyinyi ndio waswahili original. Waswahili original wanatokea Mombasa, Pemba na Zanzibari kama sijakosea.
sasa ukizungumzia wapemba na wazanzibar ndo unazungumzia watanzania!!....au we unaelewaje??
 
Dunia nzima? Labda useme kuzungumza sio kuandika maana nyie mnakosea sana mkiandika kwa mfano mahali na mahari. Yaani mbongo akikutungia sentensi huwezi elewa anachomaanisha. Nampeleka hamisa mahari. Hapa anamaanisha anampeleka Pahala fulani lakini ana makosa ya kiherufi hivyo sentensi yake yamaanisha jambo lingine
muda mwingine matatizo ya kuchanganya herufi l na r huwa yanatokana na matatizo ya ulimi,na lafudhi ya lugha mama ya mtu husika!!
 
By the way! Congo,S.A,Ghana, Nigeria,Senegal na Uganda zikiwachwa wapi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tz haiko hata kwa map.
I am talking of Akon,Kofi Olomide,Whizkid, etc.
khaaa we jamaa unaonekana ni mtu mmoja kilaza sanaa,usiejua lolote..!!
najua asilimia kubwa ya wakenya humu jf ni wajinga,lakini wewe umezidi!!
your parents 've got a loss of the century!
 
Ulitaka mpangilio gani mzee.... hii ni lugha ina misimu na rejesta zake na kama concepts ndogo kama hizi huzijui bhasi utapata tabu sana..

Ukitaka kiswahili unachokifikiria ,zama pwani ama kaa na watu wa heshima sana ndo huwa wanajali kuhusu lugha..ukiingia mtaani hakuna hayo mambo asee
dah jamaa unajitahidi sana kuwaelewesha lakini hawa jamaa wana vichwa vigumu sana,wao wanafikiri lugha ipo ipo tu!hawajui miongoni mwa tabia za lugha ni kukua,ndio!lugha yoyote lazima ikue,kila siku inazaliwa misamiati mipya,misimu na rejesta kulingana na sehemu husika,siku hizi hakuna haja ya kufuata kanuni za lugha!!!
lugha yoyote inayovutia ni lazima wazungumzaji wake waweze kuunda misamiati mipya!ndo maana american english inapendwa zaidi ya ile ya waingereza,nilishangaa kumsikia ed sheran akizungumza american eng yaan ile slang kabisa yan
 
Wapo kwenye league zao ila wameshaelewa mkuu
 
Tunaongelea genre. How popular is Bongo music in Africa. Nikienda S.A will I get fans there? What if I went to Nigeria! Will I get a good number of die hard fans? Hio ndio inamua kama mko number 1/2. For example,
1. Afro POP- Nigeria.
2.Rhumba- Congo.
3. Lingala- DRC.
4. Afro beat-S.A
5. Afro Jazz- S.A
*6. Bongo flavour-Tanzania.
The list goes with popularity, huwezi tudanganya Bongo imeshinda AfroJazz unless you are Mad. Bongo iko Kenya na Tz tu. Uganda fan base yao ni Reggae/Dancehall.
tatizo lako uko na slavery mindset,after naija,bongofleva comes second in terms of popularity, s.a have nothing to show,bongofleva is all over africa now,from tz,Kenya,ug,nigeria ,ghana ,Zimbabwe,S.a(hadi ikatungwa sheria maalum ya kuzuia ngoma za kigeni),somalia,Ethiopia..
 
Nadhania Pemba, Mombasa na Zanzibar zilikuwa muungano kabla ya mzungu kunyaka Mombasa. Kwa hivyo zanzibar pia ina waswahili original ila Tanzania bara ndio ambao sio original.
Unajua Tanzania bara ina anzia wapi?
 
Bongo became famous in Kenya through Alikiba then Diamond revolutionised it. Before these two guys Bongo crap was Unknown in Kenya. We Only knew Genge,Reggae and Rhumba.
remember before platnumz(simba)..there was proffeser j,juma nature,TID(ask naziz if you don't remember), A.Y(ogopa DJ knows the man),do you remember Mr.nice??the diamond of those times??,bushoke..etc
najua unabisha tu hapa wakati huo ulikuwa upo turkana hukoo hujafika bado Nairobi!
 
Dooohhhh you really don know what yo are talking bout....
Kwamba kiba ndo kaileta bongo flava Kenya and the rest walikuwa wapitaji...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

If you really want to know the power of bongo flava.. ingia youtube and search for the bongo artists live shows bhasss

By the way ..there is no need for this long discussion
the guy is so dumb!
 
Tunaongelea genre. How popular is Bongo music in Africa. Nikienda S.A will I get fans there? What if I went to Nigeria! Will I get a good number of die hard fans? Hio ndio inamua kama mko number 1/2. For example,
1. Afro POP- Nigeria.
2.Rhumba- Congo.
3. Lingala- DRC.
4. Afro beat-S.A
5. Afro Jazz- S.A
*6. Bongo flavour-Tanzania.
The list goes with popularity, huwezi tudanganya Bongo imeshinda AfroJazz unless you are Mad. Bongo iko Kenya na Tz tu. Uganda fan base yao ni Reggae/Dancehall.
Kenya mnapenda bongo fleva kwa sababu nyingi ila moja wapo nikuelewa Kiswahili. Kiswahili kinazungumzwa na watu zaidi ya milioni 200 kwenye nchi zaidi ya 8 Africa. Hao wote ni potential customers wa bongo flava. Kuna wale ambao wana elewa midundo tu. Tumeona wasanii wabongo wakipiga show Israel, Madagascar, Gabon,CAR, Abu dhabi e.t.c na huko mashabiki walikua wana sing along na artists. Wanaija wenyewe wana admit kwamba Bongo fleva ndiyo inawapa ushindani, wewe nani ubishe. Ila ukweli ni kwamba Kenya imetoa support kubwa sana kwa bongo fleva, uzuri hili ata wasanii wana lijua ndiyo maana hawa sit kuja Kenya kupiga media tours na kufanya collabo.
 
Leo ni furahiday napenda ile ngoma ya Jibebe vile watoto watatingishsa mahaga...
Hahaaa... kuna ngoma ilikua inaitwa KIUNO kama sijakosea ni ya mdada wa kimombasa, alikua anakikata balaa! Hivi bado yupo yule..
 
dah jamaa unajitahidi sana kuwaelewesha lakini hawa jamaa wana vichwa vigumu sana,wao wanafikiri lugha ipo ipo tu!hawajui miongoni mwa tabia za lugha ni kukua,ndio!lugha yoyote lazima ikue,kila siku inazaliwa misamiati mipya,misimu na rejesta kulingana na sehemu husika,siku hizi hakuna haja ya kufuata kanuni za lugha!!!
lugha yoyote inayovutia ni lazima wazungumzaji wake waweze kuunda misamiati mipya!ndo maana american english inapendwa zaidi ya ile ya waingereza,nilishangaa kumsikia ed sheran akizungumza american eng yaan ile slang kabisa yan
Usijidanganye kuwa American english ni original english, hao wameharibu lugha ya kiingereza sana. British english ndio kiingereza pekee inayopewa heshima dunia nzima.
 
Back
Top Bottom