dah jamaa unajitahidi sana kuwaelewesha lakini hawa jamaa wana vichwa vigumu sana,wao wanafikiri lugha ipo ipo tu!hawajui miongoni mwa tabia za lugha ni kukua,ndio!lugha yoyote lazima ikue,kila siku inazaliwa misamiati mipya,misimu na rejesta kulingana na sehemu husika,siku hizi hakuna haja ya kufuata kanuni za lugha!!!
lugha yoyote inayovutia ni lazima wazungumzaji wake waweze kuunda misamiati mipya!ndo maana american english inapendwa zaidi ya ile ya waingereza,nilishangaa kumsikia ed sheran akizungumza american eng yaan ile slang kabisa yan