Otile Brown na Sanaipendi waliua kwenye nyimbo ya chaguo la Moyo

sikuwa naupa nafasi huu wimbo kwenye masikio yangu ila kuna siku nilihudhuria harusi ya ndugu yangu ,basi kuna muda maharusi wakainuliwa kwenye viti na ndipo dj akaupiga huu wimbo maharusi waucheze lkn pia ukawa unaonekana kwenye screen za ukumbini bana weeeeeeee.....kuna hisia flani nilikuwa nazipata kutokana na ile moment kiujumla yani na ugumu wangu wote nikajikuta natabasamu kuanzia wimbo unaanza mpaka unaisha na kujiapia nitaupakua kwenye computer yangu nikirudi nyumbani,niliporudi home ajabu wimbo nilikuwa nao kumbe sikuwa naupa nafasi tu...jamaa anajua sana anachonishangaza pia lafudhi yake kama mtanzania tu kiswahili kimenyooka.
 
Kila nikipata nafasi siachi kwenda YouTube kuharibu MB zangu kwenye nyimbo za huyu mtu,,, anaijua Sanaa Hadi raha
 
Ana ngoma kali mno, ila bado sijaujua uwezo wake halisi kwa maana anapenda kushirikisha wakali mara nyingi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wakuu,

Huyu mkenya Otile brown nadhani Yuko underrated Sana, Maana nyimbo zake Kali lakini hajulikani kiivyo. Kuna nyimbo aliitoa na Sanaipendi Tande inaitwa chaguo la Moyo kusema ukweli waliua.

Yani nyimbo tamu hata Ukiwa single unatamani kufall in Love, Verse na sauti zao ndo kabisaaa. Bonge la RnB, Unaeza ukaweka repeat siku nzima.

Naupenda huu mstari, Mshkaji wangu wa maisha oh baby I Love you.

Wewe utakuwa ni otile

Unafukua makaburi
 
Jamaa yuko poa sana na anjua kuimva
 
Hata ile kolabo na Alikiba ni balaa Dah jamaa kaimba
 
Hawa wakenya ndio wanafanya aonekane hajui wakati jamaa linajua kinoma.
Wao manyimbo yao yale"fukuza mapepo" ndo wanaona dili..

Huyu tumlete bongo awakimbize mabishow akina kusah kazi kulia lia tu..
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisa. Wakenya hawawapi nafasi wasanii wao wanaoimba RnB dizain ya kina Otile, wao wanapendelea genge tone. Lakini Cha ajabu bongo flava wanaipenda na wanaipa nafasi Sana kushinda local artists
 
Naskia tu wasanii wao eti mtu anaitwa x ray...!

Wakenya wanazingua sana., Kwanza otile sio mkenya kabisa si anatoka Mombasa?

Tofauti na kina Willy Paul wajaluo wanatoka kenya ndani ndani..
 
sikuwa naupa nafasi huu wimbo kwenye masikio yangu ila kuna siku nilihudhuria harusi ya ndugu yangu ,basi kuna muda maharusi wakainuliwa kwenye viti na ndipo dj akaupiga huu wimbo maharusi waucheze lkn pia ukawa unaonekana kwenye screen za ukumbini bana weeeeeeee.....kuna hisia flani nilikuwa nazipata kutokana na ile moment kiujumla yani na ugumu wangu wote nikajikuta natabasamu kuanzia wimbo unaanza mpaka unaisha na kujiapia nitaupakua kwenye computer yangu nikirudi nyumbani,niliporudi home ajabu wimbo nilikuwa nao kumbe sikuwa naupa nafasi tu...jamaa anajua sana anachonishangaza pia lafudhi yake kama mtanzania tu kiswahili kimenyooka.
Ni mtz
 
Mapenzi Hisia
In love
Dusuma
Regina
Suck kinda love
Kuna ile na Baraka the Prince
Chaguo la MOYO
Jeraha
Aisha

Zote kalii

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom