Otile Brown na Sanaipendi waliua kwenye nyimbo ya chaguo la Moyo

Hujamfatilia vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Otile bado sanaaaa c msanii wa kumjadili kabisa hana maajabu.
Wewe unaujua Mziki naungana na wewe, Otile ni level za akina Beka flavour jina kubwa uwezo...🀏

Kinachowachanganya hawa ni ile kuona mjanja kati ya washamba. Otile anabebwa na Lugha,Colabo na swaga.

Lakini kiukwel anazidiwa hata na Bahati tena mbali sana.
 
Nampenda yeye mwenyewe binafsi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Wewe ndo umesema kweli Umu ndan watu wana mahaba na otile ila kuhusu mziki wake msimsingizie ni Mweupe kabisa[emoji1787]
 
Hivi anaitwa sanaipei au sanaeipendi?
 
Kwamba beka na otile!!!! Jamani jamaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Una matatizo ya akili wew[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyo bahati ana nyimbo gani ya maana zaidi ya aliyoahirikishwa na Ray vanny...????
 
Una matatizo ya akili wew[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyo bahati ana nyimbo gani ya maana zaidi ya aliyoahirikishwa na Ray vanny...????
Content na Upekee ndio maajabu ya Bahat.
 
Una matatizo ya akili wew[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyo bahati ana nyimbo gani ya maana zaidi ya aliyoahirikishwa na Ray vanny...????
Onja hizi: Wa nani (Toto si toto), Najua nk. sikiliza hizo nyimbo ndipo utaona Bahati ni Artist mwenye maajabu yake kuanzia idea mpaka style ya kuflow.
Achana na huyo Brown wa kubwabwaja verse za kihistoria.
 
kwakweli sijawahi kujuta kusikiliza songs zake kijana anajua,narudia anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…