Oukumene yaleta sintofahamu ndani ya Katoliki

Oukumene yaleta sintofahamu ndani ya Katoliki

Mbona Fr Amigu ameweka yote bayana...au hujamwelewa?...Na Askofu wa Jimbo la Dodoma jumapili amegusia mapungufu hayo

Vipi Mkristo na Muislam wakae wawe na fundisho moja kiimani
 
Kwa hiyo Father Amigu hataki wakatoliki wampokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yao binafsi?

Ameumia kuona wakatoliki wakitubu dhambi zao kwa Yesu?

Note:
Kuokoka ni kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako binafsi.
 
Baba mtakatifu.. Ikimaanisha kiti chake alichokalia anachokiongoza ndio kitakatifu.
Hapo haimaanishwi personality yake kama kiongozi.
Sawa.Amigu namkubali sana.Lakini zaidi naikubali imani yangu.
Baba mtakatifu.. Ikimaanisha kiti chake alichokalia anachokiongoza ndio kitakatifu.
Hapo haimaanishwi personality yake kama kiongozi.
Sawa namkubali sana.Lakini nakubali zaidi imani yangu.
 
Kwa hiyo Father Amigu hataki wakatoliki wampokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yao binafsi?

Ameumia kuona wakatoliki wakitubu dhambi zao kwa Yesu?

Note:
Kuokoka ni kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako binafsi.
Soma hiyo makala majibu utayakuta
 
Kwa hiyo Father Amigu hataki wakatoliki wampokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yao binafsi?

Ameumia kuona wakatoliki wakitubu dhambi zao kwa Yesu?

Note:
Kuokoka ni kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako binafsi.
Wakatoliki walishampokea yesu kabla wa Protestants hawajajua maandiko yansemaje.

Wakatolike wanasali kwa yesu na mafundishobyake wanayafuata barabara!

Kuliko hao waprotestants.

Wewe unadhani kumpokea yenu ni kufanya nini!?

Kuwa mlokole au kuisha katika msingi aliyoiweka yesu ya katika amri kuu ya upendo.!?

Walokole ni troublesome cults sijawahi waelewa
 
Msomi Padri Titus Amigu. Ni hazina ya Kanisa. Mungu amuweke miaka mingi ili atupe hekima yake. Karismatiki imeingia kiuhuni ndani ya Kanisa Katoliki, inatuletea mafundisho ya ovyo kama laana, uchawi n.k. Unamualika mchungaji hata teolojia hajasoma anakuja kukuhubiria nini? Hayo ndo matokeo yake, hajui sauli na paulo [emoji23]
Mungu akisaidie ukapate kuitambua ile kweli. Umeshawahi kusikia wapi Watu wanamponda mtumishi wa Mungu! Au unadhani hao mitume kama wakina paulo na maarifa yote waliyo jaaliwa na waliyo tufundiasha, wamesoma Theolojia? Think! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kristo hakuleta ukatoliki bali wokovu kwa watu wote..
 
Yesu ambae ni Mungu ndio aliuleta ukatoliki kupitia Mtume Petro ambae ni Papa wa kwanza.

"Juu ya mwamba huu nitajenga kanisa"

Theolojia ni muhimu maana hata Mungu alisema mshikeni elimu musimuache aende zake. Yesu pia aliwafundisha mitume wake miaka mi3. Biblia sio gazeti la udaku. Lazima usome theolojia ili uweze kuelewa bila hicho utaleta mafundisho ya uongo kama Laana, majini, uchawi etc yote hayo yanatokana na kutosoma teolojia. Mafundisho mengi ya mwakasege ni ya ubunifu 😂 sio ya kweli. Ni mjanja mjanja. Miujiza yake pia yaani
 
Bahati nzuri sana Amigu amejipambanua vizuri zaidi katika kuutetea ukatoliki na si kuutetea ukristo. Wakotoliki hawana mbingu ila wa wakristo wanayo mbingu.
 
Amigu kuna siku utaamka utakuta dhehebu lako limebaki na watu wawili,wengine wote wakiwa wamehamia kwa Mwamposa,we endelea kipinga wokovu kwa kuandika mada ndefu.
Hizi ni ndoto za mchana! Hivi unatufahamu Wakatoliki halisi kweli? Yaani Mkatoliki kindakindaki kama mimi niwe muimini wa Mwamposa!

Huu no utani uliopitiliza. Kanisa Katoliki litaendelea kuwa Kanisa mama milele.
 
Mungu akisaidie ukapate kuitambua ile kweli. Umeshawahi kusikia wapi Watu wanamponda mtumishi wa Mungu! Au unadhani hao mitume kama wakina paulo na maarifa yote waliyo jaaliwa na waliyo tufundiasha, wamesoma Theolojia? Think! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kristo hakuleta ukatoliki bali wokovu kwa watu wote..
Na huo wokovu upo katika kanisa lake, katoliki.
 
Back
Top Bottom