musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
Sawa.Amigu namkubali sana.Lakini zaidi naikubali imani yangu.Baba mtakatifu.. Ikimaanisha kiti chake alichokalia anachokiongoza ndio kitakatifu.
Hapo haimaanishwi personality yake kama kiongozi.
Sawa namkubali sana.Lakini nakubali zaidi imani yangu.Baba mtakatifu.. Ikimaanisha kiti chake alichokalia anachokiongoza ndio kitakatifu.
Hapo haimaanishwi personality yake kama kiongozi.
Soma hiyo makala majibu utayakutaKwa hiyo Father Amigu hataki wakatoliki wampokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yao binafsi?
Ameumia kuona wakatoliki wakitubu dhambi zao kwa Yesu?
Note:
Kuokoka ni kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako binafsi.
Wakatoliki walishampokea yesu kabla wa Protestants hawajajua maandiko yansemaje.Kwa hiyo Father Amigu hataki wakatoliki wampokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yao binafsi?
Ameumia kuona wakatoliki wakitubu dhambi zao kwa Yesu?
Note:
Kuokoka ni kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako binafsi.
Mungu akisaidie ukapate kuitambua ile kweli. Umeshawahi kusikia wapi Watu wanamponda mtumishi wa Mungu! Au unadhani hao mitume kama wakina paulo na maarifa yote waliyo jaaliwa na waliyo tufundiasha, wamesoma Theolojia? Think! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msomi Padri Titus Amigu. Ni hazina ya Kanisa. Mungu amuweke miaka mingi ili atupe hekima yake. Karismatiki imeingia kiuhuni ndani ya Kanisa Katoliki, inatuletea mafundisho ya ovyo kama laana, uchawi n.k. Unamualika mchungaji hata teolojia hajasoma anakuja kukuhubiria nini? Hayo ndo matokeo yake, hajui sauli na paulo [emoji23]
Yesu ambae ni Mungu ndio aliuleta ukatoliki kupitia Mtume Petro ambae ni Papa wa kwanza.Mungu akisaidie ukapate kuitambua ile kweli. Umeshawahi kusikia wapi Watu wanamponda mtumishi wa Mungu! Au unadhani hao mitume kama wakina paulo na maarifa yote waliyo jaaliwa na waliyo tufundiasha, wamesoma Theolojia? Think! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kristo hakuleta ukatoliki bali wokovu kwa watu wote..
Hakuna kitu hapo!Wakatoliki wameikubali kweli Padre pressure inapanda.
Hiki nacho ni kiinglish?Your lost!!
Hizi ni ndoto za mchana! Hivi unatufahamu Wakatoliki halisi kweli? Yaani Mkatoliki kindakindaki kama mimi niwe muimini wa Mwamposa!Amigu kuna siku utaamka utakuta dhehebu lako limebaki na watu wawili,wengine wote wakiwa wamehamia kwa Mwamposa,we endelea kipinga wokovu kwa kuandika mada ndefu.
Na huo wokovu upo katika kanisa lake, katoliki.Mungu akisaidie ukapate kuitambua ile kweli. Umeshawahi kusikia wapi Watu wanamponda mtumishi wa Mungu! Au unadhani hao mitume kama wakina paulo na maarifa yote waliyo jaaliwa na waliyo tufundiasha, wamesoma Theolojia? Think! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kristo hakuleta ukatoliki bali wokovu kwa watu wote..