Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeitoa, kweli inauma lakini bora kuangalia picha kama hizo ili tuwe makini tunapozingatia usalama wa barabarani.Mbona bana hungeonyesha hiyo picha, mimi sipendi hasa kuona watoto wadogo wakiwa wamepoteza maisha yao, sijui nini tena nimekuja kwenye uzi huu. Hebu toa hiyo picha tafadhali
Nimeona kwenye Uzi mwingine unatumia hizo picha kujustfy your best infrastructure, grow up bro, Sio uungwana!Mbona bana hungeonyesha hiyo picha, mimi sipendi hasa kuona watoto wadogo wakiwa wamepoteza maisha yao, sijui nini tena nimekuja kwenye uzi huu. Hebu toa hiyo picha tafadhali
Nilicho kifurahia nikuona hata Rais wa Kenya uhuru kawa mstari wa mbele kutupatia pole,Pole kwa marafiki na Jamii and the people of United Republic of Tanzania
Nilicho kifurahia nikuona hata Rais wa Kenya uhuru kawa mstari wa mbele kutupatia pole,
Asante sana Uhuru Kenyatta
Sio hivyo, nilitumia picha hiyo sio kujustify our development, ila kujustify importance ya infrustracture nzuri, hapa hivyo nilisema, ingekuwa barabara nzuri na hawa watoto hawangepoteza maisha kama sasa, nilisema, ukiangalia vizuri, hapo halikuwa kosa la dereva hasa, ila wewe mwenyewe unaweza ona hiyo barabara ilivo mbovu, na sidhani kama hii ajali ni ya kwanza hapa, sababu panakaa janga hapa.Nimeona kwenye Uzi mwingine unatumia hizo picha kujustfy your best infrastructure, grow up bro, Sio uungwana!
Barabara ya karatu kwenda ngorongoro iko paved vizuri kabsa,ni lami tatizo ni izo kona Na kulikua Nilikua ukungu na dereva alikua mgeni, sifahamu kuhusu speed ilivyokua..Sio hivyo, nilitumia picha hiyo sio kujustify our development, ila kujustify importance ya infrustracture nzuri, hapa hivyo nilisema, ingekuwa barabara nzuri na hawa watoto hawangepoteza maisha kama sasa, nilisema, ukiangalia vizuri, hapo halikuwa kosa la dereva hasa, ila wewe mwenyewe unaweza ona hiyo barabara ilivo mbovu, na sidhani kama hii ajali ni ya kwanza hapa, sababu panakaa janga hapa.
Usichukulie kama mimi nilikuwa na justify kwamba sisi tumeendelea kutumia hiyo picha, hata kwetu huku, ni muhimu kuwa na miundo msingi mizuri ili watu wetu na watoto wetu waziangamie ovyoovyo.
Na ukiangalia, nilitumia picha ambao huwezi ona waliofariki, huwezo ona watoto wametapakaa, sio eti haikuwa kwenye twitter, bali hata mimi mwenyewe siwezi angalia hiyo picha mara ya pili.