Our condolences to the families of students and teachers of Lucky Vincent Nursery and Primary Schoo.

Its so sad,wakati watoto kama hawa wanapambana wapate vyeti jitu zima ka bashite linafoji vyet,mtufikishie kilio chetu mbele ya haki,R.I.P young brothers and sisters
 
Mungu awape moyo wa kuyakabili magumu haya..!

Usikute huyo dereva alikuwa kapiga mibange yake akawa anaona barabara mbili kwa wakati mmoja..!
 
Nimeshuhudia misiba mingi Lakini huu umenipa huzuni na uchungu mno. Pole kwa Arusha na watanzania wote.
 
Mbona bana hungeonyesha hiyo picha, mimi sipendi hasa kuona watoto wadogo wakiwa wamepoteza maisha yao, sijui nini tena nimekuja kwenye uzi huu. Hebu toa hiyo picha tafadhali
Nimeitoa, kweli inauma lakini bora kuangalia picha kama hizo ili tuwe makini tunapozingatia usalama wa barabarani.
 
Asante kamanda Depay R.I.P wote walipoteza maisha Mungu awatie nguvu familia za marehemu.
 
Inauma sana jamani...Mungu awape pumziko la milele na awape nguvu familia zote zilizopatwa na majonzi haya.
 
Mbona bana hungeonyesha hiyo picha, mimi sipendi hasa kuona watoto wadogo wakiwa wamepoteza maisha yao, sijui nini tena nimekuja kwenye uzi huu. Hebu toa hiyo picha tafadhali
Nimeona kwenye Uzi mwingine unatumia hizo picha kujustfy your best infrastructure, grow up bro, Sio uungwana!
 
Nilicho kifurahia nikuona hata Rais wa Kenya uhuru kawa mstari wa mbele kutupatia pole,
Asante sana Uhuru Kenyatta

Vipi faru jon, ataudhuria kwenye mazishi au ndio atapotezea kama yale mazishi ya askari wetu !!??
 
Mungu atulize mioyo yenu wakati huu wa majonzi.Imeniuma kweli kuona watoto wachanga wakiiaga dunia kwa njia hii.Poleni ndugu zetu watz.
 
Nimeona kwenye Uzi mwingine unatumia hizo picha kujustfy your best infrastructure, grow up bro, Sio uungwana!
Sio hivyo, nilitumia picha hiyo sio kujustify our development, ila kujustify importance ya infrustracture nzuri, hapa hivyo nilisema, ingekuwa barabara nzuri na hawa watoto hawangepoteza maisha kama sasa, nilisema, ukiangalia vizuri, hapo halikuwa kosa la dereva hasa, ila wewe mwenyewe unaweza ona hiyo barabara ilivo mbovu, na sidhani kama hii ajali ni ya kwanza hapa, sababu panakaa janga hapa.

Usichukulie kama mimi nilikuwa na justify kwamba sisi tumeendelea kutumia hiyo picha, hata kwetu huku, ni muhimu kuwa na miundo msingi mizuri ili watu wetu na watoto wetu waziangamie ovyoovyo.

Na ukiangalia, nilitumia picha ambao huwezi ona waliofariki, huwezo ona watoto wametapakaa, sio eti haikuwa kwenye twitter, bali hata mimi mwenyewe siwezi angalia hiyo picha mara ya pili.
 
Barabara ya karatu kwenda ngorongoro iko paved vizuri kabsa,ni lami tatizo ni izo kona Na kulikua Nilikua ukungu na dereva alikua mgeni, sifahamu kuhusu speed ilivyokua..

Before hamjasema mchunguze pia jaman nyang'au !! Kwa wanaoifahamu barabara iyo wataleta picha muione
 
Back
Top Bottom