Overdrive ON vs OFF: Ipi ni bora katika mazingira ya mjini ya kuendesha kwa speed ndogo na Kusimama simama.

Overdrive ON vs OFF: Ipi ni bora katika mazingira ya mjini ya kuendesha kwa speed ndogo na Kusimama simama.

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
1780257572891.png

1780257618814.png



Katika mazingira ya mjini ambapo mara nyingi tunaendesha kwa mwendo mdogo chini ya 45 km/h na kusimama-simama kutokana na matuta, mashimo, wapita njia, foleni, bodaboda, bajaji, makutano ya barabara, n.k.

je ni bora kuacha Overdrive ikiwa ON au kuizima (OFF)?


Overdrive (O/D) ni gia ya juu kwenye gari la automatic
  • O/D ON: inaruhusu kufika gia ya juu
  • O/D OFF: inazuiwa kufikia gia ya juu
 
Weka ON (isitokee kwenye dashboard) hafu usiguse tena iyo button.
 
O/D inapaswa kuwa OFF kwenye mteremko mkali vinginevyo iwe ON muda wote
 
View attachment 3598874
View attachment 3598875


Katika mazingira ya mjini ambapo mara nyingi tunaendesha kwa mwendo mdogo chini ya 45 km/h na kusimama-simama kutokana na matuta, mashimo, wapita njia, foleni, bodaboda, bajaji, makutano ya barabara, n.k.

je ni bora kuacha Overdrive ikiwa ON au kuizima (OFF)?


Overdrive (O/D) ni gia ya juu kwenye gari la automatic
  • O/D ON: inaruhusu kufika gia ya juu
  • O/D OFF: inazuiwa kufikia gia ya juu
Nafikiri umekosea huo ufafanunuzi wako mstari wa mwisho. OD haizuii gear au kuruhusu gear.
OD ON ni mode ya kuendesha gari kawaida. Hapa gearbox ina override engine. Yaani gear zinabadilika kabla engine haijafika maximum rpm,ndio ile Smooth easy drive ya kawaida.
OD OFF gearbox haita override engine na gear zitabadilika pale tu engine itakapofika maximum rpm.
Ndio maana ukipiga ligi na mtu unaweka au unabonyeza OD ili iwe OFF na taa inawaka kwasababu sio mode ya kawaida. BTW hizi ni gari za AT za zamani.
Kuhusu kuzuia kufikia gear ya juu ni hivi. Umeona gari zenye PRND32L ?
HAPO L ni low ambayo mara nyingi inatumika wakati wa kuondoka gari ikiwa inavuta trela au gari ingine then unaweka D.
2 inaruhusu gear 2 tu
3 inaruhusu gear 3 tu.
 
Back
Top Bottom