Overrated na Underrated

Punguza shobo kwa mwanaume mwenzako, naona posts kibao lazima umtag.
we dogo kwanini nyie nyumbu huwa hampendi kukubaliana na ukweli kuwa anaejua anajua na nasema tasnia ya habari na burudani huyu jamaa mayowela anajua na habahatishi

mbona nyie mnaleta shobo kwa DJ sisi hatusemi kitu

acha uzwazwa kijana utaja pakatwa dadadadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni ajabu sana, kila mara mwanaume unamwomba mwanaume mwenzio akuelekeze kitu kile kile kila mara.

Kwa hiyo hata demu wako akikuuliza kitu inabidi umpigie mshkaji ili akuelekezeni.

Jifunze kutumia akili yako, kwa umri wako unatakiwa atleast uwe unajua ni wapi unaweza kupata taarifa basics na si kila mara kumrefer mwanaume mwenzako.

 
Joti anatumia nguvu nyingi kuchekesha - overrated
Idriss sultan - overrated.
Wema sepetu - overrated
Jpm - overrated


Maua sama - underrated
 
katika vitu vyote demu ndo umeona kitu cha maana au sio?
wewe ni boya tu katika kila sekta tumezidiana hatuwezi kufanana kamwe hata wewe unajifanya mjanja lakini bado unaendelea kujifunza ndo maana mpaka leo unavoongelea utajiri kibongobongo utam refer Dr Mengi au Bakhresa jifunze kukubali kujifunza pale ulipo zidiwa usijifanye wewe Joker wakat hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe nabishana na amateur

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Najua somo langu umelielewa.

Nitaendelea kuona kama utakuwa unamwita jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…