Zulu Man Tz
Member
- Sep 23, 2020
- 73
- 99
Ukuaji Wa Soko la Cryptocurrency Africa unahitaji Utaratibu Mzuri.
Heri ya Mwaka Mpya 2023 wana JF 🙏💜
Utafiti uliofanywa na Chainalysis unonyesha kuwa, Bara la Africa ni ya 1 kwa ukuaji Wa haraka kwny soko la Cryptos Ulimwenguni lakn imekuwa ikifanya mihamala michache kwa makadilio jumla ya mihamala yenye thamani ya $20 Billion kwa mwezi katikati ya 2021. Nchi kama Kenya, Nigeria na South Africa zinawatumiaji wengi wa cryptos kwa ajili ya malipo ya kibiashara lakn kwa kupanda na kushuka kwa coin ghafla (volatility) imekuwa unfavourable kwao.
Kuanguka na ubadhilifu wa kifedha kwa soko kubwa la 3 Ulimwenguni FTX la kuuza na kununua sarafu mtandao (Cryptocurrency) pamoja na kuporomoka baadae kwa thamani/bei za Bitcoin, Ethereum and saraf zinginezo, hali imepelekea shauku kubwa ya Nchi kadhaa barani Africa ya kumlinda mtumuaji/mwekezaji na kuangalia kwa jicho la tatu namna ya kuratibu kwa ujumla mifumo hii.
Kuratibu mfumuko wa kupanda na kushuka kwa thamani za sarafu hizo (High Volatility) na kuwa na mfumo wa Teknolojia unaojiendesha yaani hakuna mwny madaraka ya kuingilia mifumo hio Decentralized Ledgers Technology (DLT), hali hiyo imekuwa changamoto kwa Serikali nying Ulimwenguni kuwezesha kisheria ufanyaji kazi wake. Serikali nyingi Africa inahitaji namna madhubuti kwny izo Teknolojia kati ya kupunguza athari na kuchochochea Ubunifu wa Vijana wengi barani humo.
Mitazamo Tofauti Ya Sub-Saharan Countries.
Nchi zilizopo kusini mwa Jangwa la Sahara jumla ni Nchi 42. Ifuatayo ni orodha ya jinsi nchi hizo kupanga mikakati kwny crypto Assets:-
Central African Republic ni Nchi ya 1 Africa na pia ni Nchi ya 2 Ulimwenguni baada ya El Salvador kurasimisha kisheria malipo kwa Bitcoin. Ikiwa Rasilimali za Cryptos zitakapokubaliwa kama mfumo wa malipo kwa Serikali itapelekea athari kwa vyanzo vya mapato vya umma (Public Finance), hivyo basi elimu zaidi inahitajika, Utafiti na upembuzi yakinifu kufanikisha jambo hili Kwa kuwa hatupaswi kubaki nyuma ya Teknolojia hii ya DLT kwa ujumla wake.
Waziri wa utalii nchini El Salvador Morena Valdez alisema sekta ya utalii nchini humo imekuwa kwa 10.3% from Sept- December 2021 baada ya kurasimisha Bitcoin kama model of payment na zaidi ya 60% ya watalii walitoka Marekani. Kwa kipindi Cha mwaka mzima 2021/2022 sekta hio iliongeza mapato kutoka $1.1 millions USD -$1.4 millions USD kwa makadilio ya ongezeko la 30% ya mapato kwa mwaka.
Nchi za Africa zawa Vinara kwny kurasimisha na kuratibu Sarafu Mtandao.
1. Nchini Kenya.
November 2022, Bunge la Kenya limefanya marekebisho ya sheria yake ya Capital Market Law kwa kutambua cryptos kama security nchi hiyo imepitisha sheria ya kwanza yenye lengo la kushikilia /kuratibu sarafu mtandao zenye athari kwa umma na kutoza Kodi (Taxation) ili kumlinda mwekezaji au mtumiaji wa masoko hayo ya Crypto. Nchi hiyo inashikilia Nafasi ya 19 kwny Global Crypto Adoption Index 2022. Kenya Revenue Authority (KRA) itaenda kutoza kodi kwa users wa crypto Assets takriban Millions 4 nchini humo.
2. Nchini Ghana.
Nchi ya Ghana inashikilia Nafasi ya 49 Ulimwenguni kwny Global Crypto Adoption Index. Mnamo Wiki ya 2 ya Mwezi December 2022 kwny mkutano mkuu wa mwisho wa Mwaka (AGM) wa Taasisi za kibenki ktk chakula Cha usiku, Gavana wa Benki kuu ya Ghana Dr. Ernest Dickson alisema kwamba Taasisi hiyo Iko mbioni kuunda comprehensive framework Kwa ajili ya kuratibu sekta nzima za Rasilimali za kidigitali ( Digital Asset). Pia Nina nukuu alisema hivi " Cryptocurrencies are Digital Assets and not currency".
3. Nigeria.
Nchi ya Nigeria inashikilia Nafasi ya 11 Ulimwenguni kwny Global Crypto Adoption Index 2022. Mnamo mwaka 2021 Serikali ya Nchi hio ilitupilia Mbali kuratibu kisheria Teknolojia ya cryptocurrency. Mpaka kufikia Wiki ya 3 ya Mwezi December 2022 iliripotiwa kwamba watunga Sera nchini humo wanajiandaa kupitisha sheria Mpya ambayo watarasimisha Bitcoin na sarafu zingine kama mode of payment.
Asante sana kwa kusoma nakala yangu 🙏💪♥️
🤔Mtazamo wako wewe uko wapi hapo mbantu mwenzang kutoka Tanzania 🇹🇿

- Robo ya sub Saharan countries (Nchi 8) pekee ndio zimeweka utaratibu (Regulation) mahususi katika sarafu za mitandao (Cryptocurrency). Nchi hizo ni Kenya, South Africa, Nigeria, Ghana, Central African Republic, Senegal, Madagascar and Senegal.
- Theluthi mbili (2/3) ya sub Saharan countries ambazo hujumuisha Nchi 28 hizi zimeweka some restrictions (mazuio baadhi).
- Nchi 6 zilizobakia ambazo ni Cameroon, Ethiopia, Lesotho, Sierra Leone, Tanzania and Republic of Congo have banned Cryptocurrency.