Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
-
- #21
hamna kitu zaidi ya kuendekeza tamaa tu, kwani Kuna na mwenza mmoja mwaminifu Ina ondoa ladha ya tendo mkuu?Sema malaya wanasaidia sana basi tu inabidi utafune kimya kimya usionekane na watu
Ndiyo🤣🤣🤣ko hiyo pilau mli kula gender yenu pekee 😂😆
Ku onja onja ni tamu mmoja hatoshi.hamna kitu zaidi ya kuendekeza tamaa tu, kwani Kuna na mwenza mmoja mwaminifu Ina ondoa ladha ya tendo mkuu?
Oya Intelligent businessman natabiri uzi huu watakuponda sana ila mimi nipo hapa kusema nimekuelewa na nimemtimua huyu malaya niliyemchukua jana ni vile nilipitiwa na maji .Kutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga.
Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na zaidi ya wanaume 10 kwa siku?Unajichotea tu mikosi, balaa & roho chafu bila kujua.
tafuta mwenza mmoja tulia, haikuondolei urijali wako ila una Linda afya ya Mwili, akili na roho yako.
Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
View attachment 3313911
Roll model wetu ni.mwijaku. hutuambii kitu maana ana mapesa na bado anadinya michepukoKutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga.
Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na zaidi ya wanaume 10 kwa siku?Unajichotea tu mikosi, balaa & roho chafu bila kujua.
tafuta mwenza mmoja tulia, haikuondolei urijali wako ila una Linda afya ya Mwili, akili na roho yako.
Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
View attachment 3313911 michepul michepuko
zee lita kuwa lime piga deal chafu, so hapo liko holiday kudadadeki.Oya Intelligent businessman natabiri uzi huu watakuponda sana ila mimi nipo hapa kusema nimekuelewa na nimemtimua huyu malaya niliyemchukua jana ni vile nilipitiwa na maji .
Mzee wako nilizungumza naye kwa simu ya mkewe baada ya kwenda kuomba namba na kuomba kujua hali yake ila dada yule hakuwa tayari kunipa namba wala kunikaribisha nyumbani zaidi ya kunijibu shit shit na kupiga simu eti ongea na huyu dogo 🤔
Anayeniita dogo ni mtoto mdogo kwangu na bad enough miaka ile na cheo nilikuwa juu ila aliamua kuniharass lengo nikasirike apate kusema sijaacha ukorofi maana kituo alichokuwepo nimewahi kuwepo kabla hivyo wakongwe walinikumbuka .
Sina zaidi ya salamu zake kwetu na kusema yuko salama na bukheri wa afya ila eti atatutafuta kwa muda wake .
Ila nilichokinote mzee ni kama sasa hivi ana maisha zaidi maana hata sauti inatoka kipesapesa hivyo sitaacha kumsumbua mkewe mpaka ifike hatua na mimi nikutane naye naweza kuneemeka naye .
Ni hayo mkuu ,pamoja sana ,bado PM yangu hata nikifanya ulivyo nishauri ni gale gale .
Kwasasa mbeya mjini _Uhindini
Na ikawe kheriNapita sio mambo yangu kabisa, Mungu ninusuru
Aisee kumbe mwijaku ni roll model wako, yule alicho bbakiza ni kuolewa tu mzeeRoll model wetu ni.mwijaku. hutuambii kitu maana ana mapesa na bado anadinya michepuko
Aisee we Jamaa una chekesha, hiyo ladha iko akilini tu bwashee.Ku onja onja ni tamu mmoja hatoshi.
Na malaya wengi wana miili mizuri asee uongo mbaya
Pamoja sanaNakubali Hoja
Black baboon 😂😆Ndiyo🤣🤣🤣
Linaongea na mimi as if sio mimi lilikiwa linanituma kulitongozea ila fresh tu ,maisha duara bwana .zee lita kuwa lime piga deal chafu, so hapo liko holiday kudadadeki.
Endelea kuli sumbua lakini, mwambie Nampa hi.
acha kununua malaya bro, maana sio ujanja mzee.
Hahaha lile zee nali jua, Kuna siku nime liambia we ni boya. Lika sema intell acha zako bhana hata ka ni kweli nihurumie usi niseme SanaLinaongea na mimi as if sio mimi lilikiwa linanituma kulitongozea ila fresh tu ,maisha duara bwana .
Kaka nimeacha ndiyo maana nilipoona ona hili andiko nimeghafirika sana nikamwambia huyu dada asante kwa wakati wako ila sasa niache na maisha yangu sitaki tubaki wote tena kama tulivyokubaliana .
Si unaona ni level kubwa ya kujutia hiyo kaka?
Mwenyewe🥹Black baboon 😂😆
Niki kushika I will suck out your brains, kupitia mapua yako😂Mwenyewe🥹
Kila mtu na kilevi chake.Sija force tufanane mkuu, we endelea kununua hata 20 mbona vere tu.