Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
SawaRasmi leo natundika daluga la kubeti.
Ni zaidi ya miaka kumi nabet sijaona faida yeyote zaidi nimeishia kugombna na jmaa zangu pmj na ndgu kwa ajili ya hya mambo, itoshe tu kusema betting imenirudisha sna nyuma na kunipotezea muda
Nawaza tu kiasi nilichopteza km ingekuwa nimeweka km akiba ninahakika ningekuwa nimefny mengi tena kw ukubwa kuliko nilivyo sasa.
Njoo nikuuzie odds utusie maishaRasmi leo natundika daluga la kubeti.
Ni zaidi ya miaka kumi nabet sijaona faida yeyote zaidi nimeishia kugombna na jmaa zangu pmj na ndgu kwa ajili ya hya mambo, itoshe tu kusema betting imenirudisha sna nyuma na kunipotezea muda
Nawaza tu kiasi nilichopteza km ingekuwa nimeweka km akiba ninahakika ningekuwa nimefny mengi tena kw ukubwa kuliko nilivyo sasa.
Nna uhakika mapunziko yngu hya ni ya mojakwamojaSema una pumzika
Karbu mkuu hakuna linaloshndkanaNgoja nibet mara ya mwisho alafu natembea na yesu
Acha kunivuruga mkuuNjoo nikuuzie odds utusie maisha
Kanjibai hajawahi kutabirika mkuuSasa kama una-stake 100 afu unategemea kupata milioni kwanini Kanjibai akuache salama.?
Em stake high Kwenye mechi moja, kwenye mechi tano huwezi kupigwa zote labla kama una gundu kutoka sayari ya mars
Usikate tamaa mkuu 😂Kanjibai hajawahi kutabirika mkuu
Jpo hakuna nafuu lkn bora ya mlevi anaweza akalewa hta kwa 25k lkn co kanjibaiBetting ni starehe ni kama pombe hakuna faida ya kulewa
Hata kwenye ulevi unaweza kutumia pesa mingi usipokuwa na kikomoJpo hakuna nafuu lkn bora ya mlevi anaweza akalewa hta kwa 25k lkn co kanjibai
Yah Mara nyingi inachangiwa na company iliyokuzunguka lkn ulev wa kamali ni ww mwenyeweHata kwenye ulevi unaweza kutumia pesa mingi usipokuwa na kikomo
Bet kistarabu, usiifanye betting ni ajira.. yaani piga mishe zako kwa bidii ila uwe una bet kawaida bila kuifanya kama ajira.Nna uhakika mapunziko yngu hya ni ya mojakwamoja