To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
๐๐๐๐๐Pmj mkuu, nashndwa hta kukutumia ya vcha kw vsingizio Hali mbaya kumbe hela yote anachukua kanjibai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Pmj mkuu, nashndwa hta kukutumia ya vcha kw vsingizio Hali mbaya kumbe hela yote anachukua kanjibai
.Bet kistarabu, usiifanye betting ni ajira.. yaani piga mishe zako kwa bidii ila uwe una bet kawaida bila kuifanya kama ajira.
Chagua ligi unazozifuatilia na ubet team chache yaan ktk mkeka wako wowote usije ukabet mkeka unaozidi game 3 utaliwa tu hapo ni kama mazingaombwe tu.
Epuka tamaa kama una bet jero ww bet mech zako 3 ule buku 5 au elf 4 basi, ukibet jero ili ule laki na kuendelea unajidanganya tu hapo utachelewa sana na utapigwa vibaya sana kama ww.
Mbona me na bet kistarabu huwa naliwa na nina kula pia mara nyingi tu, tufanyeni kazi betting tuifanye kitu cha ziada tu sio kuifanya ajira.
Uko sahihi mkuu ila kwa upande huu acha niukatie tu tamaaMafanikio nikuamin unach kifanya mkuu.
nilich kiona kwako unakata tamaa mapema.
Hakuna namna ngoja nirudi under 18Mchezo huu hauruhusiwi kwa wenye umri chini ya miaka 18. Cheza kistaarabu.
Sahihi kabisa Mkuu WanguBetting and pornography are serious mental health diseases that kills many generations dreams.
Ni lazma upigwe kama mwizi wabongo mnabet kama mmekatika vichwa odds za faida hua ni 2-3Rasmi leo natundika daluga la kubeti.
Ni zaidi ya miaka kumi nabet sijaona faida yeyote zaidi nimeishia kugombna na jmaa zangu pmj na ndgu kwa ajili ya hya mambo, itoshe tu kusema betting imenirudisha sna nyuma na kunipotezea muda.
Nawaza tu kiasi nilichopteza km ingekuwa nimeweka km akiba ninahakika ningekuwa nimefny mengi tena kw ukubwa kuliko nilivyo sasa.
Tatizo wabongo wanawaza hela ndefu unamkuta mtu kastake 50k timu 8 hapo anatafuta million [emoji1787][emoji1787]Mpaka unyooke Acha lawama cholo mm nilkua mhanga wa kuBet nilikua natumia mshahara wote nabak apache Alolo ila nilivyoingia Mkataba na miamba wa Telegram walinifunza mengi na jinsi ya kupambana na tamaa So nikaanza upya wakawa wananipa odds 2 tu kwa siku..Faida nilianza kupata kubwa sana tu
Waine Link
![]()
![]()
Bet kistaarabu
Rasmi leo natundika daluga la kubeti.
Ni zaidi ya miaka kumi nabet sijaona faida yeyote zaidi nimeishia kugombna na jmaa zangu pmj na ndgu kwa ajili ya hya mambo, itoshe tu kusema betting imenirudisha sna nyuma na kunipotezea muda.
Nawaza tu kiasi nilichopteza km ingekuwa nimeweka km akiba ninahakika ningekuwa nimefny mengi tena kw ukubwa kuliko nilivyo sasa.
Tatizo hakuna mtu anayependa kubaki na kipato cha chini ,wewe ule 3000 maisha yako yote si unapaswa kupanda juu?Bet kistarabu, usiifanye betting ni ajira.. yaani piga mishe zako kwa bidii ila uwe una bet kawaida bila kuifanya kama ajira.
Chagua ligi unazozifuatilia na ubet team chache yaan ktk mkeka wako wowote usije ukabet mkeka unaozidi game 3 utaliwa tu hapo ni kama mazingaombwe tu.
Epuka tamaa kama una bet jero ww bet mech zako 3 ule buku 5 au elf 4 basi, ukibet jero ili ule laki na kuendelea unajidanganya tu hapo utachelewa sana na utapigwa vibaya sana kama ww.
Mbona me na bet kistarabu huwa naliwa na nina kula pia mara nyingi tu, tufanyeni kazi betting tuifanye kitu cha ziada tu sio kuifanya ajira.
Sasa Mimi sibadiliki ila naachaWenzako tunabeti Kwa ela ya matumizi ya kawaida kama pombe, sigara, kuhonga, kulipa lodge Yan vile vitu ambavyo sio muhimu Sana
Ila kama unabet Kwa ela ya ujenzi au chakula lazima utaona ni uteja
Cjajua raia wa wp lkn pmj ni hzo odds bdo ni bahat nasibuNi lazma upigwe kama mwizi wabongo mnabet kama mmekatika vichwa odds za faida hua ni 2-3
Tamaaa ni mbaya sana kwenye betting