Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Fanya mambo mengine.C kwmba ndan ya muda cjawah kula nimemuotea kanji Mara nyingi tu lkn huwa nikipima huwa naona km napiga duara tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya mambo mengine.C kwmba ndan ya muda cjawah kula nimemuotea kanji Mara nyingi tu lkn huwa nikipima huwa naona km napiga duara tu
Boss nitafute tufanye kazi ,mi uwa natoa odds mechi 1 tu kila siku na ndani ya siku 10 kupoteza mara 1 tuView attachment 2608946View attachment 2608947betting chagua sure moja tia mzigo sio vimia mia
Unamdanganya hiyo ya mechi moja singo ulisha niliza 600,000/= Mancity alikua anacheza mechi ya mwisho waende kombe la dunia mwaka janaSasa kama una-stake 100 afu unategemea kupata milioni kwanini Kanjibai akuache salama.?
Em stake high Kwenye mechi moja, kwenye mechi tano huwezi kupigwa zote labla kama una gundu kutoka sayari ya mars
Ndo nasema kati ya mechi tano huwezi kukosa tatu labla uwe na gundu king'ang'aniziUnamdanganya hiyo ya mechi moja singo ulisha niliza 600,000/= Mancity alikua anacheza mechi ya mwisho waende kombe la dunia mwaka jana
hakika stoisahau hiyo siku kikosi chote kilikua vzr rakini city wakapigwa 2-1 kuanzia sku hiyo nikasema bye bye
Hayawezi kuwepo... Ila nakupa siri... Namna zinavyo kuja ndo hivyo hivyo hupotea...Hivi hapo najaribu kuwaza inakuwaje ghafla anapata million 800. Hivi haya maneno yatakuwapo tena? [emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi ungeishia hapaBetting ni starehe ni kama pombe hakuna faida ya kulewa