Oya shituka betting ni uteja

Oya shituka betting ni uteja

Sasa kama una-stake 100 afu unategemea kupata milioni kwanini Kanjibai akuache salama.?
Em stake high Kwenye mechi moja, kwenye mechi tano huwezi kupigwa zote labla kama una gundu kutoka sayari ya mars
Unamdanganya hiyo ya mechi moja singo ulisha niliza 600,000/= Mancity alikua anacheza mechi ya mwisho waende kombe la dunia mwaka jana

hakika stoisahau hiyo siku kikosi chote kilikua vzr rakini city wakapigwa 2-1 kuanzia sku hiyo nikasema bye bye
 
Ndo nasema kati ya mechi tano huwezi kukosa tatu labla uwe na gundu king'ang'anizi
 
Back
Top Bottom