Oya shituka betting ni uteja

Oya shituka betting ni uteja

Wakuperuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2023
Posts
2,348
Reaction score
5,841
Rasmi leo natundika daluga la kubeti.

Ni zaidi ya miaka kumi nabet sijaona faida yeyote zaidi nimeishia kugombna na jmaa zangu pmj na ndgu kwa ajili ya hya mambo, itoshe tu kusema betting imenirudisha sna nyuma na kunipotezea muda.

Nawaza tu kiasi nilichopteza km ingekuwa nimeweka km akiba ninahakika ningekuwa nimefny mengi tena kw ukubwa kuliko nilivyo sasa.
 
Rasmi leo natundika daluga la kubeti.

Ni zaidi ya miaka kumi nabet sijaona faida yeyote zaidi nimeishia kugombna na jmaa zangu pmj na ndgu kwa ajili ya hya mambo, itoshe tu kusema betting imenirudisha sna nyuma na kunipotezea muda
Nawaza tu kiasi nilichopteza km ingekuwa nimeweka km akiba ninahakika ningekuwa nimefny mengi tena kw ukubwa kuliko nilivyo sasa.
Sawa
 
Attachments

  • Screenshot_20230503-201005~2.png
    Screenshot_20230503-201005~2.png
    4.5 KB · Views: 19
Rasmi leo natundika daluga la kubeti.

Ni zaidi ya miaka kumi nabet sijaona faida yeyote zaidi nimeishia kugombna na jmaa zangu pmj na ndgu kwa ajili ya hya mambo, itoshe tu kusema betting imenirudisha sna nyuma na kunipotezea muda
Nawaza tu kiasi nilichopteza km ingekuwa nimeweka km akiba ninahakika ningekuwa nimefny mengi tena kw ukubwa kuliko nilivyo sasa.
Njoo nikuuzie odds utusie maisha
 
Nna uhakika mapunziko yngu hya ni ya mojakwamoja
Bet kistarabu, usiifanye betting ni ajira.. yaani piga mishe zako kwa bidii ila uwe una bet kawaida bila kuifanya kama ajira.

Chagua ligi unazozifuatilia na ubet team chache yaan ktk mkeka wako wowote usije ukabet mkeka unaozidi game 3 utaliwa tu hapo ni kama mazingaombwe tu.

Epuka tamaa kama una bet jero ww bet mech zako 3 ule buku 5 au elf 4 basi, ukibet jero ili ule laki na kuendelea unajidanganya tu hapo utachelewa sana na utapigwa vibaya sana kama ww.

Mbona me na bet kistarabu huwa naliwa na nina kula pia mara nyingi tu, tufanyeni kazi betting tuifanye kitu cha ziada tu sio kuifanya ajira.
 
Back
Top Bottom