Oya shituka betting ni uteja

Sasa kama una-stake 100 afu unategemea kupata milioni kwanini Kanjibai akuache salama.?
Em stake high Kwenye mechi moja, kwenye mechi tano huwezi kupigwa zote labla kama una gundu kutoka sayari ya mars
Kuna jamaa alibet mbele yangu nikiwa nae ofisini,,, mechi ya marudiano Wydad vs Simba,,, aliangalia Wydad anavyofunga akiwa home goal kianzia 3,4,5,6

Akaaminia Wydad win & over 1.5 akatia mzigo wa maana laki 5 cash,,,, baadae nilikuwa nae Bar tunakunywa huku tukicheki mpira kwa hali alokuwanayo ilibidi nimkimbie sijui ku-share maumivu mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],,,,,,,, ila pole yake

Kubet ni shida haina cha odd nyingi wala chache ni bahati tu na hiyo bahati kuipata ni bahati sana
 
Halafu mtu anakuambia kuna odd sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…