Barbiedoll
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 772
- 2,150
Bora umestuka mapema
Mungu akutangulie
Mungu akutangulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa alibet mbele yangu nikiwa nae ofisini,,, mechi ya marudiano Wydad vs Simba,,, aliangalia Wydad anavyofunga akiwa home goal kianzia 3,4,5,6Sasa kama una-stake 100 afu unategemea kupata milioni kwanini Kanjibai akuache salama.?
Em stake high Kwenye mechi moja, kwenye mechi tano huwezi kupigwa zote labla kama una gundu kutoka sayari ya mars
To yeye katika ubora wake!Hongera sana
Halafu mtu anakuambia kuna odd sureKuna jamaa alibet mbele yangu nikiwa nae ofisini,,, mechi ya marudiano Wydad vs Simba,,, aliangalia Wydad anavyofunga akiwa home goal kianzia 3,4,5,6
Akaaminia Wydad win & over 1.5 akatia mzigo wa maana laki 5 cash,,,, baadae nilikuwa nae Bar tunakunywa huku tukicheki mpira kwa hali alokuwanayo ilibidi nimkimbie sijui ku-share maumivu mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],,,,,,,, ila pole yake
Kubet ni shida haina cha odd nyingi wala chache ni bahati tu na hiyo bahati kuipata ni bahati sana
Pmj mkuu, nashndwa hta kukutumia ya vcha kw vsingizio Hali mbaya kumbe hela yote anachukua kanjibaiHongera sana
Sina cha kufundishwa kuhusu kubet mjomba we amini tu hii ktu ni htarNjoo ufundishwe kubet ki mkakatiView attachment 2608952
Hv 1.5 over ya waydad na simba inakataa kuna sure ipi tena zaidi ya hyoView attachment 2608946View attachment 2608947betting chagua sure moja tia mzigo sio vimia mia
Mi sio mzee wa odds mlimaTatizo mnaweza odds mlima ndio mnaliwa daily
Ni bahati sana mkuu,, kuna asilimia kubwa ya kupoteza kuliko ku-winHalafu mtu anakuambia kuna odd sure
Upande wng nimeweka salaha chiniNarudia tena....kanji has to win always....but u have to win only once.
Hakikisha hiyo mara moja unapiga vya kutosha.
Amina mkuuBora umestuka mapema
Mungu akutangulie
SahihiNi bahati sana mkuu,, kuna asilimia kubwa ya kupoteza kuliko ku-win
Wacha nishabikie tu mpira wenyewe tu inatoshaKila kitu kifanyike kwa kiasi.
Kwenye kipato chako hela ya kubet isizidi asilimia tano hutakuja kulia lia huku