Oya shituka betting ni uteja

.
Professional gamblers; hawa ku-bet ni kazi na wanaichukulia very serious. Hapo kwenye kubet ndio wanafanya kama ulivyoshauri, stake kubwa odds chache...no grred.
.
Casual gamblers; hawa wanabet kama chanzo cha kujifurahisha tu...just for fun...wakiamua kuacha wanaweza. Huyu ndio kama wewe.
.
Impulsive gamblers; hawa wanabet ili kupata adrenaline rush...thrill...na hawawezi kuacha hata wakitaka. Wana ndoto unrealistic mfano anaweka jero apate laki (stake kiduchu ila odds mlima). Hawa ndo huwa wanapigwa kipigo cha jibwa koko sasa.
 
NO RETREAT,NO SURRENDER....hakuna hustler anatupa taulo mapema mkuu,hapo ni kubadili mbinu tu maana shida yetu unaweka timu 20 na unategemea kula 20mil kwa 200tsh huon huo ni ujuha?au pesa ya ugali wew unabet ili upate ya wali?...BET KISTAARABU
 
Ni lazma upigwe kama mwizi wabongo mnabet kama mmekatika vichwa odds za faida hua ni 2-3

Tamaaa ni mbaya sana kwenye betting
 
Tatizo wabongo wanawaza hela ndefu unamkuta mtu kastake 50k timu 8 hapo anatafuta million [emoji1787][emoji1787]
 

Wenzako tunabeti Kwa ela ya matumizi ya kawaida kama pombe, sigara, kuhonga, kulipa lodge Yan vile vitu ambavyo sio muhimu Sana


Ila kama unabet Kwa ela ya ujenzi au chakula lazima utaona ni uteja
 
Tatizo hakuna mtu anayependa kubaki na kipato cha chini ,wewe ule 3000 maisha yako yote si unapaswa kupanda juu?
Utanogewa tu uongeze dau na hapo ndo tatizo litaanzia kuliwa zaidi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…