Tetesi: P Diddy ahusishwa na kifo cha Notorious B.I.G

Tetesi: P Diddy ahusishwa na kifo cha Notorious B.I.G

Tupac alikuwa na hasira baada ya kutokea ugomvi baina yake na BIG kuhusu utunzi wa wimbo fulani, alikwenda kwenye vyombo vya habari na kuanza kujisifu kuwa amelala na Faith Evans mke wa BIG.

BIG akaona isiwe shida ammalize tu. Kundi la Tupac likaamua nalo lilipize kisasi na vijana wawili wadogo wakaondoka kiurahisi sana.

Faith Evans akatoa wimbo mmoja mkali sana wa kumkumbuka BIG chini ya uongozi wa P Didy....

Tupac alikuwa ni mshamba sana
 
He (

Hamna lolote brother. Huyo mama anataka hela tuu hana lolote.

Puffy juzi kat8 hapa ameamua kuwamilikisha "master recording" wasanii wake wote including BIG mother ambae ni mrithi wa BIG na amekubali hilo deal kwa makubaliano toka Bad Boy records.

Pia Suge hana lolote he's in jail serving 23 years with possible parole in 2034. Na Death Row records ameshainunua Snoop akijua kwamba ubabe na umafia wa Suge uliisha mahakamani.
Tusubiri kuona mwisho wa kesi zinazomuandama kwa yale aliyoyafanya miaka ya nyuma utakuaje.

Kila lenye mwanzo huwa halikosi mwisho. Wazungu wanaweza kuyaona mabaya yako mengi, wakakuangalia tu ili siku ya siku ujae kwenye 18 zao wakumalize.

RIP Notorious BIG and 2Pac.
 
2pac aliwaibia sana ma nigger wa pandee zileee. Ila ki ukweli jamaa alikuwa miyeyushoo sana kama angekuwa kipindi Kuna social network asingeweza kuwashika masikio kiasi kilee.. Pac kengee sana

Yaan matatizo anatafuta mwenyewe alafu ananza kulaum watu wengine shida zikimkuta.
Aliwaibiaje mkuu, hebu fafanua na utuwekee na fact kidogo. Maana kama ulivyosema kuwa hizi ni zama za social media, kila mtu anaweza kuandika lake, so ili uaminiwe na watu ni vizuri muandikaji ukaweka na fact za kuaminika ili tukubali kilichoandikwa.
 
Aliwaibiaje mkuu, hebu fafanua na utuwekee na fact kidogo. Maana kama ulivyosema kuwa hizi ni zama za social media, kila mtu anaweza kuandika lake, so ili uaminiwe na watu ni vizuri muandikaji ukaweka na fact za kuaminika ili tukubali kilichoandikwa.
Tu pac alikuwa akishinda na kula bata na real ganster, number chafu, watu wa karibu walimwonya akiwepo causin wake pamoja na Big.

Kama kungekuwa na social media angekuwa anapost na watu wangeona matukio. Mara pale baada ya kupata kesi ya ubakaji na wahuni kumruka na yeye kuingia ugomvi na wahuni asingepata nafasi ya kusema kuwa Big hakumwambia, au alikuwa hajui kuwa anacheza na simba, watu wangemchana mapema tu kwamba anashinda na watu sio.

Tupac kushinda na wahuni wa newyork ndiko kulipelekea kwenda jela na ndiko kulipelekea kusaini mkataba death row " mkataba ambao uliandwikwa kwa mkono, watu wanadai hakujawahi kuandikwa mkataba wa kinyonyaji kama ule tangia na baada ya indrustry ya mziki" tupac alikuwa hana namna bali kusaini kuz wahuni walitaka marinda yake jela na vitisho kila kukicha. Yeye kuwa chini ya suge kulimfanya atengeneze chuki ya uwongo juu ya Big na Diddy kama kulipa fadhila kwa boss wake ambaye alikuwa ana wivu mkubwa sana juu ya Badboy.

Kudhibitisha kama kweli walikuwa wananyonywa na tupac kama kenge, baada ya Dre kusepaa tupac kama kawa kamnyea/ kamdiss kichizi dree kwenye ngoma yake moja. Yaani kamdis produza aliyemtengenezea califonia love.
 
Back
Top Bottom