Tupac alikuwa na hasira baada ya kutokea ugomvi baina yake na BIG kuhusu utunzi wa wimbo fulani, alikwenda kwenye vyombo vya habari na kuanza kujisifu kuwa amelala na Faith Evans mke wa BIG.
BIG akaona isiwe shida ammalize tu. Kundi la Tupac likaamua nalo lilipize kisasi na vijana wawili wadogo wakaondoka kiurahisi sana.
Faith Evans akatoa wimbo mmoja mkali sana wa kumkumbuka BIG chini ya uongozi wa P Didy....
Tusubiri kuona mwisho wa kesi zinazomuandama kwa yale aliyoyafanya miaka ya nyuma utakuaje.He (
Hamna lolote brother. Huyo mama anataka hela tuu hana lolote.
Puffy juzi kat8 hapa ameamua kuwamilikisha "master recording" wasanii wake wote including BIG mother ambae ni mrithi wa BIG na amekubali hilo deal kwa makubaliano toka Bad Boy records.
Pia Suge hana lolote he's in jail serving 23 years with possible parole in 2034. Na Death Row records ameshainunua Snoop akijua kwamba ubabe na umafia wa Suge uliisha mahakamani.
Aliwaibiaje mkuu, hebu fafanua na utuwekee na fact kidogo. Maana kama ulivyosema kuwa hizi ni zama za social media, kila mtu anaweza kuandika lake, so ili uaminiwe na watu ni vizuri muandikaji ukaweka na fact za kuaminika ili tukubali kilichoandikwa.2pac aliwaibia sana ma nigger wa pandee zileee. Ila ki ukweli jamaa alikuwa miyeyushoo sana kama angekuwa kipindi Kuna social network asingeweza kuwashika masikio kiasi kilee.. Pac kengee sana
Yaan matatizo anatafuta mwenyewe alafu ananza kulaum watu wengine shida zikimkuta.
Tu pac alikuwa akishinda na kula bata na real ganster, number chafu, watu wa karibu walimwonya akiwepo causin wake pamoja na Big.Aliwaibiaje mkuu, hebu fafanua na utuwekee na fact kidogo. Maana kama ulivyosema kuwa hizi ni zama za social media, kila mtu anaweza kuandika lake, so ili uaminiwe na watu ni vizuri muandikaji ukaweka na fact za kuaminika ili tukubali kilichoandikwa.