Tetesi: P Diddy Ameaga Mashindano, Ameleft Group

Endelea kubisha
 
Drake nakubaliii, ila Diddy na Scofield uongo mtupu.

Huyu Scofield wazungu walimtumia km platform ili awateke watu wengi, wazungu wajanja sanaa.
Wewe choko acha kukataa jambo ambalo wenyewe wanalikubali
Toka 2013 Scofield alijitangaza, Wala kwao sio shida. Aseme uongo ili iwe nini wakati huko kwao ni kawaida.

Huwa mnahisi machoko ni watu wa aina gani? Kuna msanii bongo movie yule mwenye mandevu ana jina la mnyama wenzie walimfuna anatatuliwa marinda wakawa hawaamini.
 
Waache waendelee kubisha
 
Msanii mdada mfupi kutoka A town. Unamuongelea nani hapa. Hii code umeikaza sana.
Double M

Dada yake yupo kwa Biden. Alafu Hawa wote nawakubali sana nawapenda mno, kuwazungumzia hivi sio issue. Kama vipi temana na hii story
 
Siku hizi kila mtu maarufu utasikia ni shoga,hakuna tena zile issue za kila mtu maarufu ni Freemason!


Hili nalo litapita,sijui litakuja lipi tena.
Wenyewe ndio wanajitangaza, sisi tubishe? Diddy aliwahi kuhojiwa kuhusu yeye na will smith, unakumbuka alichojibu?
 
Leta ushahid maana mie nmeukosa
 
Wenyewe ndio wanajitangaza, sisi tubishe? Diddy aliwahi kuhojiwa kuhusu yeye na will smith, unakumbuka alichojibu?
Hawa watu maarufu wanatumika tu kupromote ili ionekane ushoga ni kitu cha kawaida coz wanawafuasi wengi na pia ni rahisi kwao kufikisha ujumbe.
 
Sikuhizi haipiti week bila kuanzishwa uzi wa ushoga humu ndani..😡
 
Mnapenda habari za upinde na mnawaza ushoga tu muda wote itakua nyie ndo mashoga wenyewe.
Halafu wanavyozizungumzia low-key unawaona kama wapo proud vile!!! Kwamba si unaona Hadi P Didy kaleft Si umeona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…