Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kemikali au?Msanii mdada mfupi kutoka A town. Unamuongelea nani hapa. Hii code umeikaza sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kemikali au?Msanii mdada mfupi kutoka A town. Unamuongelea nani hapa. Hii code umeikaza sana.
Mmh Sijapenda asee 😢😢😢Team kataa ndoa hao
Endelea kubishaAcha upuuzi, unafuatilia drama na scandal tu, wapi wamejitangaza kwamba wao ni mashoga?
Hivi leo nikiamka nikafungua uzi nikasema Countrywide ni shoga na anapakuliwa je hio itakua kweli wewe ni shoga?
Usiwafananishe na scoffield ambae yeye mwenyewe alitoka hadharan akajitangaza.
Huwa huna akili fala wewe
Scofield nimejua kuwa ni gay tokea 2013. Alafu wao hawaoni shida kujitangaza, wewe huku ndio unaona shidaNaomba clip ambayo scofield alisema yeye ni shoga? Then nakupa 50k hapa hapa jf.
Shule shule shule shule ni muhimu sana
Wewe choko acha kukataa jambo ambalo wenyewe wanalikubaliDrake nakubaliii, ila Diddy na Scofield uongo mtupu.
Huyu Scofield wazungu walimtumia km platform ili awateke watu wengi, wazungu wajanja sanaa.
Waache waendelee kubishaYule fala Scofield alichonikera anamwita yule choko mwenzake "my husband",dah nililia sana ile siku, sikula chochote kwa siku tatu nikisali rozali kuomba mama bikira maria afanye kile nilichokiona kuwa ni ndoto tu.
Ila haikubadilika kitu, yule mbwa Scofield akabakia kuwa shoga. Nilimia sana hadi leo bado naumia jamaa aliusaliti uanaume kwa namna mbaya sana.
Naona effect za kuchapiwa zina kuharibu kiakili mkuuuuScofield nimejua kuwa ni gay tokea 2013. Alafu wao hawaoni shida kujitangaza, wewe huku ndio unaona shida
Double MMsanii mdada mfupi kutoka A town. Unamuongelea nani hapa. Hii code umeikaza sana.
Wenyewe ndio wanajitangaza, sisi tubishe? Diddy aliwahi kuhojiwa kuhusu yeye na will smith, unakumbuka alichojibu?Siku hizi kila mtu maarufu utasikia ni shoga,hakuna tena zile issue za kila mtu maarufu ni Freemason!
Hili nalo litapita,sijui litakuja lipi tena.
Njoo ukalie hili gogo maana naona unawashwa mnoNaona effect za kuchapiwa zina kuharibu kiakili mkuuuu
Asante kwa kulea mtoto wangu mkuuuNjoo ukalie hili gogo maana naona unawashwa mno
We kima haikusaidii chochote kutukana watu hapa, jadili mada utoke.Nyambaff
Nmeomba ushahidi wa aliposema yeye ni gayScofield nimejua kuwa ni gay tokea 2013. Alafu wao hawaoni shida kujitangaza, wewe huku ndio unaona shida
Leta ushahid maana mie nmeukosaIpo na kuna tuzo nimesahau sijui ni tuzo za nini zile alikuja na jamaa stejini kabisa akawa anatoa neno then nikasikia anatamka "I want to thank my wonderful husband for the support.... " Dah nililia sana. Nenda YouTube huko kaandike Michael Scofield husband utaona mwenyewe.
Hawa watu maarufu wanatumika tu kupromote ili ionekane ushoga ni kitu cha kawaida coz wanawafuasi wengi na pia ni rahisi kwao kufikisha ujumbe.Wenyewe ndio wanajitangaza, sisi tubishe? Diddy aliwahi kuhojiwa kuhusu yeye na will smith, unakumbuka alichojibu?
Ndo ivo yaan.Wewe unajua unalosema na unajiamini sikupingi
Halafu wanavyozizungumzia low-key unawaona kama wapo proud vile!!! Kwamba si unaona Hadi P Didy kaleft Si umeona?Mnapenda habari za upinde na mnawaza ushoga tu muda wote itakua nyie ndo mashoga wenyewe.