Tetesi: P Diddy Ameaga Mashindano, Ameleft Group

Tetesi: P Diddy Ameaga Mashindano, Ameleft Group

Acha upuuzi, unafuatilia drama na scandal tu, wapi wamejitangaza kwamba wao ni mashoga?

Hivi leo nikiamka nikafungua uzi nikasema Countrywide ni shoga na anapakuliwa je hio itakua kweli wewe ni shoga?

Usiwafananishe na scoffield ambae yeye mwenyewe alitoka hadharan akajitangaza.

Huwa huna akili fala wewe
Endelea kubisha
 
Drake nakubaliii, ila Diddy na Scofield uongo mtupu.

Huyu Scofield wazungu walimtumia km platform ili awateke watu wengi, wazungu wajanja sanaa.
Wewe choko acha kukataa jambo ambalo wenyewe wanalikubali
Toka 2013 Scofield alijitangaza, Wala kwao sio shida. Aseme uongo ili iwe nini wakati huko kwao ni kawaida.

Huwa mnahisi machoko ni watu wa aina gani? Kuna msanii bongo movie yule mwenye mandevu ana jina la mnyama wenzie walimfuna anatatuliwa marinda wakawa hawaamini.
 
Yule fala Scofield alichonikera anamwita yule choko mwenzake "my husband",dah nililia sana ile siku, sikula chochote kwa siku tatu nikisali rozali kuomba mama bikira maria afanye kile nilichokiona kuwa ni ndoto tu.

Ila haikubadilika kitu, yule mbwa Scofield akabakia kuwa shoga. Nilimia sana hadi leo bado naumia jamaa aliusaliti uanaume kwa namna mbaya sana.
Waache waendelee kubisha
 
Msanii mdada mfupi kutoka A town. Unamuongelea nani hapa. Hii code umeikaza sana.
Double M

Dada yake yupo kwa Biden. Alafu Hawa wote nawakubali sana nawapenda mno, kuwazungumzia hivi sio issue. Kama vipi temana na hii story
 
Siku hizi kila mtu maarufu utasikia ni shoga,hakuna tena zile issue za kila mtu maarufu ni Freemason!


Hili nalo litapita,sijui litakuja lipi tena.
Wenyewe ndio wanajitangaza, sisi tubishe? Diddy aliwahi kuhojiwa kuhusu yeye na will smith, unakumbuka alichojibu?
 
images (13).jpeg

Njoo ukalie hili gogo maana naona unawashwa mno
Asante kwa kulea mtoto wangu mkuuu
Ubarikiwe sana
 
Ipo na kuna tuzo nimesahau sijui ni tuzo za nini zile alikuja na jamaa stejini kabisa akawa anatoa neno then nikasikia anatamka "I want to thank my wonderful husband for the support.... " Dah nililia sana. Nenda YouTube huko kaandike Michael Scofield husband utaona mwenyewe.
Leta ushahid maana mie nmeukosa
 
Wenyewe ndio wanajitangaza, sisi tubishe? Diddy aliwahi kuhojiwa kuhusu yeye na will smith, unakumbuka alichojibu?
Hawa watu maarufu wanatumika tu kupromote ili ionekane ushoga ni kitu cha kawaida coz wanawafuasi wengi na pia ni rahisi kwao kufikisha ujumbe.
 
Sikuhizi haipiti week bila kuanzishwa uzi wa ushoga humu ndani..😡
 
Mnapenda habari za upinde na mnawaza ushoga tu muda wote itakua nyie ndo mashoga wenyewe.
Halafu wanavyozizungumzia low-key unawaona kama wapo proud vile!!! Kwamba si unaona Hadi P Didy kaleft Si umeona?
 
Back
Top Bottom