Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Dah,Mr foxWako wengi Sana America..wanasukumana mbolea
Ukiambiwa uwezi
Amini mengine ni matransgender View attachment 2618421View attachment 2618422
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah,Mr foxWako wengi Sana America..wanasukumana mbolea
Ukiambiwa uwezi
Amini mengine ni matransgender View attachment 2618421View attachment 2618422
Usishangae ukaambiwa anaepinga ushoga nae shoga. Mm nimechoka mnoo kusikiliza kelele hizi. Juzi nimepanda daladala Tegeta-Kariakoo kapanda mtumishi wa mungu akatuhubiria. Anaesema "eti mwanaume nae anataaaakaaa mwanaume unautakaaaaaa!!! Mwanaume? Kweli unautakaaaa!" Kakomba sadaka kasepa zake. It's too overated! Waaafrika tukiganda sehem hatutoki mpaka waje 'remote contoler' kutuambia tusogee mbele kufikiria mambo mengine
Dunia inaelekea ukingoni aiseeTayari sasa p Diddy ameshayaaga mashindano. Huwa nawaonea huruma sana wale watu ambao hupenda kujiita majina ya watu ambao ni celebrities bila kujua huyo mtu ni wa aina gani.
Kuna kipindi wale watu waliokua wanajiona wajanja sana miaka ile ya 2008-2010 walikuwa Wanapenda kujiita Scofield. Kumbe mwamba nae alishaleft group kitambo sana, ile ilikua movie tu.
Kuna siku nilikua sehemu fulani hivi nikakutana na kadada flani hivi kakawa kananiambia kanampenda sana yule msanii mdada mfupi mwanamuziki wa kutoka A Town, anasema yule ni role model wake, mara sijui mpole, mara anapenda life style yake bila kujua kuwa huyu mwanadada nae ameleft kwenye group lao kitambo sana na amekua lesbian kwa miaka mingi mno.
Muwe waangalifu mnapochagua role models, iwe wa kiume au wa kike. Poleni sana mliojiita diddy
Mbogamboga😆😆Didy wanamra
Unamtukana MKUU WA WILAYA (NIKI)Acha upuuzi, unafuatilia drama na scandal tu, wapi wamejitangaza kwamba wao ni mashoga?
Hivi leo nikiamka nikafungua uzi nikasema Countrywide ni shoga na anapakuliwa je hio itakua kweli wewe ni shoga?
Usiwafananishe na scoffield ambae yeye mwenyewe alitoka hadharan akajitangaza.
Huwa huna akili fala wewe
Team kataa ndoa hao
Team kataa ndoa sio watu walio left group bali ni watu ambao walio sanukia huu utapeli unao itwa ndoa na hizo janja janja za wanawake.sisi kuwagonga tutawagonga sana na kuwazalisha tutawazalisha sana acha tu muwe masingle maza mtajua wenyewe.
Hatuna huruma na wanawake na kubwa zaidi hatuwaoi na kwa hizo janja janja zenu mtatukubali trip hii.
Naomba clip ambayo scofield alisema yeye ni shoga? Then nakupa 50k hapa hapa jf.Tayari sasa p Diddy ameshayaaga mashindano. Huwa nawaonea huruma sana wale watu ambao hupenda kujiita majina ya watu ambao ni celebrities bila kujua huyo mtu ni wa aina gani.
Kuna kipindi wale watu waliokua wanajiona wajanja sana miaka ile ya 2008-2010 walikuwa Wanapenda kujiita Scofield. Kumbe mwamba nae alishaleft group kitambo sana, ile ilikua movie tu.
Kuna siku nilikua sehemu fulani hivi nikakutana na kadada flani hivi kakawa kananiambia kanampenda sana yule msanii mdada mfupi mwanamuziki wa kutoka A Town, anasema yule ni role model wake, mara sijui mpole, mara anapenda life style yake bila kujua kuwa huyu mwanadada nae ameleft kwenye group lao kitambo sana na amekua lesbian kwa miaka mingi mno.
Muwe waangalifu mnapochagua role models, iwe wa kiume au wa kike. Poleni sana mliojiita diddy
==
Kujua ukweli wa taarifa hii soma NADHARIA - P Diddy anashiriki mapenzi ya jinsia moja
NyambaffSasa nikila mikate ugali namwachia nani,
Mi babaako we wakuja
Drake nakubaliii, ila Diddy na Scofield uongo mtupu.Juzi ilikua Drake nae kaleft, mara P Didy.
Piga nyundo hawa washamba wapenda uongo na udakuMnapenda habari za upinde na mnawaza ushoga tu muda wote itakua nyie ndo mashoga wenyewe.
Wewe unajua unalosema na unajiamini sikupingiDrake nakubaliii, ila Diddy na Scofield uongo mtupu.
Huyu Scofield wazungu walimtumia km platform ili awateke watu wengi, wazungu wajanja sanaa.
Yule fala Scofield alichonikera anamwita yule choko mwenzake "my husband",dah nililia sana ile siku, sikula chochote kwa siku tatu nikisali rozali kuomba mama bikira maria afanye kile nilichokiona kuwa ni ndoto tu.Acha upuuzi, unafuatilia drama na scandal tu, wapi wamejitangaza kwamba wao ni mashoga?
Hivi leo nikiamka nikafungua uzi nikasema Countrywide ni shoga na anapakuliwa je hio itakua kweli wewe ni shoga?
Usiwafananishe na scoffield ambae yeye mwenyewe alitoka hadharan akajitangaza.
Huwa huna akili fala wewe
Hata mi nashangaa Diddy huyu aanze kupigwa dudu la Yuyu😁Drake nakubaliii, ila Diddy na Scofield uongo mtupu.
Huyu Scofield wazungu walimtumia km platform ili awateke watu wengi, wazungu wajanja sanaa.
Ipo na kuna tuzo nimesahau sijui ni tuzo za nini zile alikuja na jamaa stejini kabisa akawa anatoa neno then nikasikia anatamka "I want to thank my wonderful husband for the support.... " Dah nililia sana. Nenda YouTube huko kaandike Michael Scofield husband utaona mwenyewe.Naomba clip ambayo scofield alisema yeye ni shoga? Then nakupa 50k hapa hapa jf.
Shule shule shule shule ni muhimu sana
Msanii mdada mfupi kutoka A town. Unamuongelea nani hapa. Hii code umeikaza sana.Tayari sasa p Diddy ameshayaaga mashindano. Huwa nawaonea huruma sana wale watu ambao hupenda kujiita majina ya watu ambao ni celebrities bila kujua huyo mtu ni wa aina gani.