Ili usikike Mbele unaambiwa lazima DIDY aruhusu or else awe hana interest na wewe.
Ila akinusa akaona mate yanamjaa mdomoni hutusui hata utoe kolabo ya YESU KRISTO nyimbo yako hata mkristo mmoja hatoisikia.
DIDY kashika ulimwengu wa Entertainment wenyewe wanamuita MUHURI lazima aku approve ili utusue.
Wapo aliowasaidia tu kwa moyo ila wengi waliotaka mafanikio continuosly lazima warombwee.
Ukitaka ukae kwa Peak for a long time cabinet ya didy ikupitishe, this guy is dangerous sababu ya mambo matatu tu.
1.Ana Pesa
2.Mafia
3.Time (ana muda mrefu kwa Game)
LAKINI KATIKA YOTE
Kuna nyakati tofauti maishani
Nyakati ya kuzaliwa
Nyakati ya kufariki
Nyakati ya kuinuka
Nyakati ya kudondoka
Maisha ni kama Ngazi huwezi ruka ngazi yoyote ile maishani, Hamna tajiri hajawahi onja umaskini, na hamna maskini hato onja utajiri (utajiri si wa pesa tu)
Diddy wakati wake wa kurudi chini umefika, Zama zake zimefika hatimae ataibuka new legend (sidhani kama ni Jay Z) lakini wakati wa diddy kurudi chini umefika not to zero ila to ground abaki na hela ya kula asubuhi mchana jioni,basi.
Diddy did 81% of our Stars... list inaendelea. SEMA HILI TOPE ALOCHAFULIWA NALO kufutika sio leo.
#SUPREME