P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

Kuna thread humu ilizungumzia CLOUDSFM kuna kaa uchafu kama haka! Si ajabu Pdiddy alipita pale ....
 
Hatimaye Msomali yuko mikono salama:-

Screenshot_20240918_011619_Chrome.jpg
Screenshot_20240918_011711_Chrome.jpg
 
Kwa Meek Meel mnaenda mbali, kama unaweza kunusa nenda kanuse hapo Wasafi
Vijana wanataka kuendesha tako la nyani, mpaka leo sijaelewa vibe la kumuinamisha mwanaume mwenzako linatoka wapi?

Sidhani kama nk tamaa za kingono maana madada na mashangazi sasa hivi wana mizigo kama yote, hivi kwa nini nisimuhonge mwanamke pesa anipe tako?

Mimi nadhani kuna siri kubwa imejificha ambayo hatuijui ipo kwenye mikundu ya wanaume, nakataa kabisa issue siyo tamaa za kingono, wapenda tako sasa hivi mademu wana mitako ya kuvutia kwa nini hawawapi pesa wanawake ili wajambiwe?
 
Kuna imani nyuma ya uchafu huu si bure...
Jamaa ni muuaji pia
 
Jf ukisoma stori za mastaa wa bongo wote unaambiwa ni mashoga
alafu wote wana UKIMWI
but who knows
 
Kwahiyo aliposema mambo mengi mengine hawezi kuyataja ndiyo muhitimishe kwamba jamaa alivuliwa Ubingwa? 😅🙌

Labda hayo mambo mengine ilikuwa mambo ya biashara na Uwekezaji, so hakutaka kuyaweka wazi kwasababu ya kibiashara.

Iko hivi, jamaa ukialikwa kwenye party yake unasaini mkataba kuwa utakayo yaona huko au kufanya huwezi kuyasema. pengine labda msanii wetu aliamaanisha hivyo.
 
Iko hivi, jamaa ukialikwa kwenye party yake unasaini mkataba kuwa utakayo yaona huko au kufanya huwezi kuyasema. pengine labda msanii wetu aliamaanisha hivyo.
Kweli njia ya mafanikio sio rahisi 🙌
 
Vijana wanataka kuendesha tako la nyani, mpaka leo sijaelewa vibe la kumuinamisha mwanaume mwenzako linatoka wapi?

Sidhani kama nk tamaa za kingono maana madada na mashangazi sasa hivi wana mizigo kama yote, hivi kwa nini nisimuhonge mwanamke pesa anipe tako?

Mimi nadhani kuna siri kubwa imejificha ambayo hatuijui ipo kwenye mikundu ya wanaume, nakataa kabisa issue siyo tamaa za kingono, wapenda tako sasa hivi mademu wana mitako ya kuvutia kwa nini hawawapi pesa wanawake ili wajambiwe?
Hamna siri yoyote zaidi ya ushetani na tamaa. Binadamu ni kiumbe chenye tamaa na katika kuiendekeza ndo hufanya mambo ya ajabu. Sasa kama kuna matukio ya binadamu kumwingilia kuku, yaani kuku... kokooookooo kwakwakwa, mtu anakimbiza anadaka anajipigia.
 
Huko ulaya ndio msbingwa wa machafu na uhuru wa kuutumia mwili mtu atakavyo.

Kwa nini wanamsokota sana huyu jamaa wakatii wao ndio wapiga debe wa haya mambo machafu ya kutafunana ?
Ni kweli, ila kumbuka hao wanotetea mpaka serikalini hoja yao ni kwamba wanaruhusu Ushoga ila uliwe kwa ridhaa yao au makubaliano...

Didy yeye alikuwa anabaka...au anadanganya kuwa ni Party tu au Ocassion flan then analewesha watu na kisha kuwafanya

La sivyo, usingengisikia Wazungu wakilaani hili
 
Back
Top Bottom