raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
SijajuaIvi bado yupo marekani au alikimbia?
Wakati wa ule msako inasemekana alikuwa miami kwann hawa kumkamata hilo wanajua wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SijajuaIvi bado yupo marekani au alikimbia?
Nadhani mpaka uchunguzi ukamilike.Sijajua
Wakati wa ule msako inasemekana alikuwa miami kwann hawa kumkamata hilo wanajua wao
Work, work work work work work work work work work work work work work work workHumanity is a work
Ni sahihi Mkuu, lakini mbona matukio ni ya Wabongo tupu?But, what if it’s all true?
Vipi Kama ni kweli kwa asilimia 100 na wao watuhumiwa wanajua ni kweli kabisa?
Vipi Kama hawa tunawasikia zaidi kwa maana ndio watu maarufu kutoka huko “uzunguni tunaowafahamu ila wapo “wazungu wengi tu wenye michezo hii na tuhuma hizi lakini hatuwazungumzii kwa maana hawatuhusu (ki ufahamu)?
Did OJ Simpson kill his wife or did the color of his skin?
Binaadam sio wa kumlia yamini linapokuja suala la matendo ya faragha na matamanio yake.
Ndio maana nikakwambia yawezekana wewe unaona ya “wabongo tupu kwasababu ndio unaowafuatilia sana lakini vipi Kama yapo mengi zaidi ya wasiokua wabongo? Ila yapo na yanatokea.Ni sahihi Mkuu, lakini mbona matukio ni ya Wabongo tupu?
Nimekuelewa Mkuu, tubakishe akiba ya manenoNdio maana nikakwambia yawezekana wewe unaona ya “wabongo tupu kwasababu ndio unaowafuatilia sana lakini vipi Kama yapo mengi zaidi ya wasiokua wabongo? Ila yapo na yanatokea.
Nadhani mpaka uchunguzi ukamilike.
Sijajua
Wakati wa ule msako inasemekana alikuwa miami kwann hawa kumkamata hilo wanajua wao
Kuchomoka kwenye hizo kesi kwa nchi za wenzetu hasa marekani ni ngumu sana.Tatizo hapa tunachanganya mambo mawili. Kuna suala la kuwabandua vidume kama ndugu yetu na wenzake kule state hapo Bwana Ali Mbona hana kesi, hao walikubaliana na kwa state inaruhisika, Sasa hayo masuala ya kuwabandua watu hayana kesi kabisa kwa hiyo hayahitaji kusubiri mahakama.
Kesi alizonazo ni ku host peaties ambazo zina drags pamoja na shutuma za kuharibu watoto wadogo kwa maana under age, mana nasikia anakawaida ya kulea lea watoto wa kiume.
Sean Puff Combs
Aibu sana aisee
Mh anasema waliingia wakakuta mwamba ana mabaunsa wana vyuma kabisa,na mwenyeji wao swizz aliishia coridoni😁😁😁.Kwahyo diddy atakuwa alipiga threesome mondi na meneja. Duh! Wacha tusubirie hiyo connection maana lazima tu alirecord.![]()
na lazima ivuje.