P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

[emoji599]

Huyu jamaa nilidhania anasingiziwa kumbe ni mshenzi kweli. P. Diddy aka Mr Love anaeshutumiwa kwa makosa mbalimbali ya udhalilishaji wa ki ngono kwa wanawake na wanaune nimeona kwenye moja ya mahojiano yake (crip) anaweka wazi kuwa hamu yake ya kufanya mapenzi huwa haichagui mwanamke au mwanaume bali itategemea na mood na vibe atakayokuwa nayo wakati huo.

Alafu anaulizwa kama ameshmbandua Meek Meel ambaye ni producer wa kiume anajibu kuwa hilo hawezi kulisema kama ni kweli au si kweli.

Malalamiko ya huyo producer ni kwamba aliliwa kiboga na Didy ili asaidiwe kupata tuzo ya Grammy ya producer bora wa mwaka.

Yaani yeye alikuwa ana exchange matako ya mtu na heshima unayoitaka. Dah! Alafu huyu jamaa alikuwa karibu sana na Burna Boy wa Nigeria na ndiyo aliyemsaidia kupata tuzo mbalimbali kubwa za kimataifa.

Hili suala limenishtua sana na sasa ndiyo najua hata wasanii wetu wa Afrika ikiwemo hawa wa Tanzania ambao hadi wanapigiana video call na Rick Ross kuna siri nyingi sana nyuma yao zinazowafikisha hapo ambapo wakati ukifika itagundulika tu.

Napata shaka sana juu ya mond kama hajabanduliwa na huyu filauni sababu nimemuona yeye na mameneja wake wakieleza waliwahi fika nyumbani kwa Didy

Nilichojifunza ni kwamba dunia imeharibika sana hivyo siyo busara kutamani mafanikio ya mtu maana kuna wengine wameyapata kwa gharama ya kuudhalilisha utu wao aisee[emoji848][emoji848]

Vijana wenzangu turidhike na maisha yetu aliyotujaalia Mwenyezi Mungu kwani shetani siyo mwema ki hivyo hadi akupe maisha mazuri bure bure.
Propaganda tu za kumchafua didy na zitapita tu.
 
Unamchafuaje Diddy wakati ndiyo michezo yake. Je ulisikia 50 Cents? Diddy alitaka akamshughulikie, akamuambia "can I do shopping for you? Ndiyo 50 akampotezea na akawa ana uhasama naye kuanzia siku hiyo.

Sasa akina diamond na Babu Tale walipoambiwa shopping wakajua wanapewa zawadi za vito!!
 
🚨

Huyu jamaa nilidhania anasingiziwa kumbe ni mshenzi kweli. P. Diddy aka Mr Love anaeshutumiwa kwa makosa mbalimbali ya udhalilishaji wa ki ngono kwa wanawake na wanaune nimeona kwenye moja ya mahojiano yake (crip) anaweka wazi kuwa hamu yake ya kufanya mapenzi huwa haichagui mwanamke au mwanaume bali itategemea na mood na vibe atakayokuwa nayo wakati huo.

Alafu anaulizwa kama ameshmbandua Meek Meel ambaye ni producer wa kiume anajibu kuwa hilo hawezi kulisema kama ni kweli au si kweli.

Malalamiko ya huyo producer ni kwamba aliliwa kiboga na Didy ili asaidiwe kupata tuzo ya Grammy ya producer bora wa mwaka.

Yaani yeye alikuwa ana exchange matako ya mtu na heshima unayoitaka. Dah! Alafu huyu jamaa alikuwa karibu sana na Burna Boy wa Nigeria na ndiyo aliyemsaidia kupata tuzo mbalimbali kubwa za kimataifa.

Hili suala limenishtua sana na sasa ndiyo najua hata wasanii wetu wa Afrika ikiwemo hawa wa Tanzania ambao hadi wanapigiana video call na Rick Ross kuna siri nyingi sana nyuma yao zinazowafikisha hapo ambapo wakati ukifika itagundulika tu.

Napata shaka sana juu ya mond kama hajabanduliwa na huyu filauni sababu nimemuona yeye na mameneja wake wakieleza waliwahi fika nyumbani kwa Didy

Nilichojifunza ni kwamba dunia imeharibika sana hivyo siyo busara kutamani mafanikio ya mtu maana kuna wengine wameyapata kwa gharama ya kuudhalilisha utu wao aisee🤔🤔

Vijana wenzangu turidhike na maisha yetu aliyotujaalia Mwenyezi Mungu kwani shetani siyo mwema ki hivyo hadi akupe maisha mazuri bure bure.
Shetani hajawahi kua mwema
 
Kabisa mkuu.
Moyo wa mtu kichaka.
 
Kwa akili za kawaida Mwanaume rijali unaweza kukubali uingiliwe na Mwanaume mwenzio kisa atakupa pesa/umaarufu?

Sidhani kama hili Lina ukweli

Wengine tukiwa tunatomb***na tu na Wanawake hatupendi tuguswe makalio yetu hata Kwa bahati mbaya ndiyo iwe mtu mzima kukubali kuingiliwa.

Me nadhani tunamkosea Mondi kwenye hili.

Mondi anaongelewa haya kwakuwa amefanikiwa kuliko wasanii wenzake wote Afrika Mashariki, hivyo inatafutwa njia ya kujaribu kumshusha 🙌
Huenda wanapewa vichochezi (vitu vinavyo chochea hisia za upande wa pili)iwe wanajua ama bila kujua.
 
Naskia Harmonize kukimbia WCB sababu mojawapo alinusurika, alishtukia abdalah kichwa wazi wa almasi akiwa anazunguka kwenye kinyeo wakiwa wamelewa njwiii, Rayvanny nasikia kabanduka kitambo sana, Moze iyobo naskia ni kama demu wa almasi tu, Macvoice naye lazima kishawaka, Almas na meneja wake sio poa, hata mzee olomide awe makini anaweza kuja shangaa rungu la komredi kipepe ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oya ninyi jamaa mwazungumza ukweli ama masihara!?
Mbona vyanishangaza hivi!?
 
Hapo kwenye magovi ndo huwa nachoka.... Kwanini hawataki kutahiliwa hawa majamaaa. Imagine bongo uende na dem then utoe mashine ina govi. Hivi atakupa mzigo? Na akikupa atarudia tena? Vipi matangazo mtaani? Na mkikosana nae je matusi ya hapo. Mmmhhhh ngumu kumeza
Nenda Usukumani ndanindani ujionee,nenda Mbinga Ruvuma ujionee watu walivyo na mkono wa sweta.
 
Back
Top Bottom